Usituchoshe 8v10 hatrickNyie kondoo mmesikia Wako Jacko ana Hattrick huko, huyo Jesus wenu anazo ngapi msimu huu? kutwa kuzurura wodini. hattrick ataisikia kwnye bomba
View attachment 2807294
Msisahau kumshtaki kipara kwa kuwauzia gari la mkaa
Niliwahi kusema Wana mpira wa vurugu tu na wahuni wanaocheza kama wanacheza ndondo cup...nikasema leo wanakabwa koo...na kimetokea....Sasa bdo kwny ligi kuuSasa hivi nawaombea wapigwe back to back mpaka hasira zetu ziishe pumbavu hawa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hat Trick kamtishe Rashford we zombiNyie kondoo mmesikia Wako Jacko ana Hattrick huko, huyo Jesus wenu anazo ngapi msimu huu? kutwa kuzurura wodini. hattrick ataisikia kwnye bomba
View attachment 2807294
Msisahau kumshtaki kipara kwa kuwauzia gari la mkaa
We zombi uko wapiMnafananisha kilichotokea jana na match ya Liverpool vs tot kitu ambacho si sahihi. Match ya liver kulikua na technical issues tofauti na game ya jana.
Game ya jana vitu vyote 3 vimeangaliwa cha kwanza kabisa wameangalia kama mpira ulitoka wote na wakahakikisha kabisa mpira haukutoka wote, ikaangaliwa kama kuna possible foul ikaonekana li gabriel limeruka lakini lika fake kama limefanyiwa foul baada ya kuona limeshindwa kufikia mpira . Tukacheki kama gordon yupo offside lakini hakuwa offside.
Mnacholalamika nyinyi ni nini tuelewe basije mpira ulitoka nje?, gabriel kafanyiwa foul au gordon alikua offside ??
Kipi hapo au ni vyote ???View attachment 2804558
Gordon baada ya kuona game of thrones wanamzingua akaja kupiga mpira pale st james![]()
Ngoja najaribu kukumbuka neno kwa nenoMnafananisha kilichotokea jana na match ya Liverpool vs tot kitu ambacho si sahihi. Match ya liver kulikua na technical issues tofauti na game ya jana.
Game ya jana vitu vyote 3 vimeangaliwa cha kwanza kabisa wameangalia kama mpira ulitoka wote na wakahakikisha kabisa mpira haukutoka wote, ikaangaliwa kama kuna possible foul ikaonekana li gabriel limeruka lakini lika fake kama limefanyiwa foul baada ya kuona limeshindwa kufikia mpira . Tukacheki kama gordon yupo offside lakini hakuwa offside.
Mnacholalamika nyinyi ni nini tuelewe basije mpira ulitoka nje?, gabriel kafanyiwa foul au gordon alikua offside ??
Kipi hapo au ni vyote ???View attachment 2804558
Gordon baada ya kuona game of thrones wanamzingua akaja kupiga mpira pale st james![]()
Hata ukimuelimisha vipi hatakuelewa.Ngoja najaribu kukumbuka neno kwa neno
Kuhusu mpira kua nje
"Ni kweli mpira uko nje lakini kwa angle tuliyopo hatuwezi kusema upo nje tukubaliane na maamuzi ya refa ya uwanjani"
Kuhusu offside (Wote tunajua sheria ya offside inasema mchezaji akiwa amebaki na mlinzi mmoja hiyo ni offisde) Kwa kesi ya nyukesto Raya alishakua ametoka kamuacha scorer ambaye alikua kabaki na Gabriel.
Kuhusu foul
"Ni kweli Joe kamsukuma Gabriel kwa mikono miwili, ingawa tunaona mikono miwili ila hatuwezi kutathmini kama inatosha kua kusukumwa"
Ni kivipi Bruno alicheza mechi nzima akaja kupata yellow tu mwishoni?
Sasa wenye akili timamu wanachouliza ni kwamba mbona hakuna consistency? Kesi za kufanana ni nyingi na majibu yanakuja tofauti kutegemea na timu.
A day after hii mechi kuna refa kashushwa daraja.
Arsenal wamemuunga mkono Arteta. FA bado wanapima upepo.
Jishikilieni muende Europa
Online kuna comments zinasema Arsenal imeenda overboard kusupport maoni ya Arteta.Hata ukimuelimisha vipi hatakuelewa.
Tumesema sana kuna agenda dhidi yetu kama Arsenal, lakini nadhani kikubwa zaidi PGMOL huenda iko corrupt sana tu. Kuna wakati nililesema humu kuwa statistically Arsenal inaongoza kwa wrong calls against them na kudhulumiwa ila naona kinachotubeba sometimes ni ubora wetu uliokuwa unatufanya tushinde gaames nyingi despite hizo dhulma. Ila dhulma hizo zikiwakuta team ndogo, madhara huwa makubwa zaidi.
Tukipaswa kucheza na watu pungufu, marefa hawatoi adhabu. Kumbuka game ya City na Kova. Ikitokea tumefanya kosa sisi tukafunga goli, VAR watarudi hata nusu dakika nyuma kutafuta kosa. Kumbuka game ya Manyumbu na oli la Martinelli. Nilifurahi ila nilishangaa pia kuwa walikataa goli la Garnacho...
Kweli mkuu. Arsenal ni kama wamesema 'tusonge mbele zaidi ya kuombwa misamaha kila mara, jirekebisheni tu moja kwa moja enyi PGMOL ili mambo yawe sawa na mpira uendelee'. Na PGMOL sasa wameamua kutojibu publicly. Najiuliza hata wakijibu, ni nini wanachoweza kusema watu waelewe?Online kuna comments zinasema Arsenal imeenda overboard kusupport maoni ya Arteta.
Lakini hawa watakua hawajui Arsenal ni miongoni mwa timu ambazo zimepokea misamaha mingi kutoka kwa PGMOL.
Liva kaomba mechi irudiwe Carragher akaona ni sawa Arteta anasema kilichotokea ni aibu Carragher anakuambia Arteta amekosea.
Mashabiki tunaidai consistency. Mpira ule ule ukiwa na Rashford ukasemwa umetoka.
Ni comedy
Kale katimu Kao Kila siku huwa nakasema halafu naonekana kama nna gubu🤠🤠🤠...unajua mpira unachezwa uwanjani wte tunauona.... Dortmund katoka kushonwa goli za kutosha weekend ila jana wamecheza kama hamna kilichotokea na Hawa wafukuza upepo...Nyukesto ukihakikisha tu hawakimbiikimbii...unawakamata unaweka kwapani unaondoka nao🤠🤠🤠....bdo malipo ya goli la mchongo walolazimisha weekend...watalilipia tuHuyu chura wa nyukesto kakimbia kabisa?
PGMOL wapo scandalous sana...kuna Kila dalili inaonesha kuna mlungula unatembea kule ndani...kiungwana tu wachutame na kujirekebisha...kwnn VAR pale England tu ndo iwe inaleta controversies Kila siku na si ligi zingine...Sasa Bora wanyooshwe mapema huku ligi ndo mbichi kuliko ikiwa too lateKweli mkuu. Arsenal ni kama wamesema 'tusonge mbele zaidi ya kuombwa misamaha kila mara, jirekebisheni tu moja kwa moja enyi PGMOL ili mambo yawe sawa na mpira uendelee'. Na PGMOL sasa wameamua kutojibu publicly. Najiuliza hata wakijibu, ni nini wanachoweza kusema watu waelewe?
FA nao wametutaka tutoe maelezo, wayatafakari, halafu waamue ama watuache au watupige faini. Nasubiria kuona kitachotokea
Halafu nasikia wamemshusha daraja refa Anthony Taylor. So kama Taylor hawezi kufanya vema EPL, aende kuboronga Championship? Kwa nini wasimfukuze kazi kabisa akatafute shughuli nyingine nje ya urefa?PGMOL wapo scandalous sana...kuna Kila dalili inaonesha kuna mlungula unatembea kule ndani...kiungwana tu wachutame na kujirekebisha...kwnn VAR pale England tu ndo iwe inaleta controversies Kila siku na si ligi zingine...Sasa Bora wanyooshwe mapema huku ligi ndo mbichi kuliko ikiwa too late
Maelekezo wanayogeana watu wa VAR na refa aliye field ni sawa zaidi yakiwa yanapatikana kwenye website ya EPL ili kila mtu apime walitumia logic gani kufikia uamuziKweli mkuu. Arsenal ni kama wamesema 'tusonge mbele zaidi ya kuombwa misamaha kila mara, jirekebisheni tu moja kwa moja enyi PGMOL ili mambo yawe sawa na mpira uendelee'. Na PGMOL sasa wameamua kutojibu publicly. Najiuliza hata wakijibu, ni nini wanachoweza kusema watu waelewe?
FA nao wametutaka tutoe maelezo, wayatafakari, halafu waamue ama watuache au watupige faini. Nasubiria kuona kitachotokea
Sawa kabisa. Hii itawafanya waongeze umakini. Kina Carragher wanaogopa hii presha wanayopewa PGMOL na VAR kwa sababu wanaona itakuwa inachelewesha game kwa kila kitu kuwa scrutinized (unless ni kwa Liverpool, hapo sawa tu kwake Carra) ila mimi naona ni vizuri kuleta maboresho ya kiutendaji na watu wawajibishwe.Maelekezo wanayogeana watu wa VAR na refa aliye field ni sawa zaidi yakiwa yanapatikana kwenye website ya EPL ili kila mtu apime walitumia logic gani kufikia uamuzi