Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Mbona tukifungwa matusi yanakuwa mengi humu?
Mashabiki wengi wana childish altitude; niliwahi kuingizwa kwenye mtego wa matusi, lakini nikagundua mapema nilikuwa na argue na mtoto, nikamuomba aniblock, kama nilivyo mblock