Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,513
- 9,553
Tumewakamata ipasavyo kipindi ya pili tunarudi kufunga sasa.
Sijawahi ona mtu kama rice asee daahRice ilibidi auzwe £150m
Watu hawasemi ila leo kai ameprove watu wrong so farSijawahi ona mtu kama rice asee daah
Mechi kama hizi ndo mechi za Kai .. hii mechi hatakiwi kutoka mapema.. Urefu wake ni msaada kwetuWatu hawasemi ila leo kai ameprove watu wrong so far
MafiaSijawahi ona mtu kama rice asee daah
Kacheza vizuri sana kiungo yote leo ipo active sanaMechi kama hizi ndo mechi za Kai .. hii mechi hatakiwi kutoka mapema.. Urefu wake ni msaada kwetu
Ajenda gani? Hii ya kuwapa wachezaji watatu wa Newcastle yellow card kwa mpigo?Hii ajenda ya marefarii dhidi ya Arsenal naona inaendelea
Aah kwenda hukoKai Sijui ana pepo gani huyu dogo , yani ana kauvivu flani hivi kanakera ,mtoto mlenda saba yule .
Na Joginho ugonjwa wake sugu kila mtu anaujua , kukaba hawezi .
Tatizo mtu wa maamuzi ya hata kujaribu nje ya boksi ndo amekosekana. Hawaonagi anachofanyaga Ode.Kacheza vizuri sana kiungo yote leo ipo active sana
Ni jiniii Hili jamaaMafia
Mkatili
Namuona anacheza namba zaidi ya mbili, anafanya defence anafanya attacking kwa ubora ule ule
Kai leo anatimiza majukumu yake.Watu hawasemi ila leo kai ameprove watu wrong so far
Yan hawa jamaa ndo mpira wao.. Kai alifanya vizuri kuto react baada ya ile foulIla NC wanacheza mpira wa rafu na ovyo sana. Wanabebwa ile kiwiko ilibidi mtu ale umeme.
Mimi nampa mda kai ...kiukwel ana improve ...mtu ambae leo hakupaswa kuwepo na anacheza kimatako ni nketiahTatizo mtu wa maamuzi ya hata kujaribu nje ya boksi ndo amekosekana. Hawaonagi anachofanyaga Ode.
Sanaaa mzeeKai leo anatimiza majukumu yake.
Kama Ode ataingia... kai akacheze 9Mimi nampa mda kai ...kiukwel ana improve ...mtu ambae leo hakupaswa kuwepo na anacheza kimatako ni nketiah