Wenger atakwambia goli la kwanza lilikuwa offside, la tatu haikuwa faulu and "I didn't see the other 5 goals".. Penalty ya RVP, "the ref should have allowed him to retake it"Only Chelsea, the Kings of London can stop the Mancs!
Mzee wenger ndio kwanza amesisitiza tumecheza pungufu ya wachezaji wanane regular!! bado sio sababu ila naona huyu mzee inabidi apate msaada kwani muonekano wake leo alionekana kuchoka sana. wakati akina Fergie, Villa Boas, Mancini wamemaliza biashara, yeye anakosa usingizi kukamilisha dili za ubwete.
Yaani nimengalia highlights jinsi uzembe umefanyika siwezi kuamini. Magoli yote yanajieleza kwamba ni ukosefu wa uzoefu, tumegawa free-kicks za kizembe, hakuna kiongozi nyuma, madogo Jenkinson na Traore wamekosa back-up ya kuwasaidia, central backs ya Djourou na Konscielny ni mbovu kabisa, yaani huyu Konscienly nashindwa kumuelewa, mawasiliano yake mbovu, usomaji wake wa mchezo zero, yeye anajua hana pace na ni last deffender lakini kila mara unamkuta anacheza high line hadi amesababisha Jenkinson alimwe kadi. Tunahitaji uzoefu wa Cahill haraka amsaidie TV5 kuokoa huu msimu.
Szczesny, Jenkinson, Djourou, Koscielny, Traore, Ramsey, Coquelin (Oxlade-Chamberlain 62), Rosicky, Walcott (Lansbury 83), van Persie (Chamakh 83), Arshavin. Subs Not Used: Fabianski, Miquel, Ozyakup, Sunu. Sent Off: Jenkinson (77). Booked: Arshavin, Jenkinson, Djourou
Wenger atakwambia goli la kwanza lilikuwa offside, la tatu haikuwa faulu and "I didn't see the other 5 goals".. Penalty ya RVP, "the ref should have allowed him to retake it"
Man Utd 9-0 Ipswich - Mar 95
Tottenham 9-1 Wigan Nov 09
Chelsea 8-0 Wigan - May 10
Newcastle 8-0 Sheff Wed - Sep 99
Notts For 1-8 Man Utd - Feb 99
Chelsea 7-0 Stoke Apr 10
Arsenal 7-0 Everton May 05
Blackburn 7-0 Notts Forest Nov 95
Man Utd 7-0 Barnsley Oct 97
Arsenal 7-0 Middlesbrough 06
Mi nahesabu matobo!<br />
Naona Digea kapigwa tobo na Walcot!!
Mkuu umeme umerudi? lol
Wenger atakwambia goli la kwanza lilikuwa offside, la tatu haikuwa faulu and "I didn't see the other 5 goals".. Penalty ya RVP, "the ref should have allowed him to retake it"
Mzee wenger ndio kwanza amesisitiza tumecheza pungufu ya wachezaji wanane regular!! bado sio sababu ila naona huyu mzee inabidi apate msaada kwani muonekano wake leo alionekana kuchoka sana. wakati akina Fergie, Villa Boas, Mancini wamemaliza biashara, yeye anakosa usingizi kukamilisha dili za ubwete.
Yaani nimengalia highlights jinsi uzembe umefanyika siwezi kuamini. Magoli yote yanajieleza kwamba ni ukosefu wa uzoefu, tumegawa free-kicks za kizembe, hakuna kiongozi nyuma, madogo Jenkinson na Traore wamekosa back-up ya kuwasaidia, central backs ya Djourou na Konscielny ni mbovu kabisa, yaani huyu Konscienly nashindwa kumuelewa, mawasiliano yake mbovu, usomaji wake wa mchezo zero, yeye anajua hana pace na ni last deffender lakini kila mara unamkuta anacheza high line hadi amesababisha Jenkinson alimwe kadi. Tunahitaji uzoefu wa Cahill haraka amsaidie TV5 kuokoa huu msimu.
My condolences.The records so far .. .... ... . .
Bahasha za mwaka huu zimekuja na mtindo mpya wa red cards kwa wachezaji wa Arsenal .... .... ... tena nyingine za mezani ... .... ... Gervino red card ridiculous, Song FA meeting ... ..... leo Jenkinson then unafikiri nini?
Since when you started saying that, you never came back...will surely b back!!
Naona Mods mmenifanyie mtima nyongo...for the past two hrs nashindwa ku post kitu...najua n hujuma ya Wacha boy akifwatana na Mbu na AW.....sawa tu lakn.
Kikosi cha leo hiki hapa chini .... .... .... kama umemsikiliza Fungie kasema Arsenal team ilikuwa very weak .... .... ..
We will bounce back .... .... .... ... in Arsene we trust ... ....