arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Endelea kuropoka mpk hyo Jumamosi....nasikitika sana Isack hatakuwepo maana mtasingizia yule ngongoti wenu...ila uwezo wa kutufunga nyny hamna....wacha siku ifike halafu uone kwnn upo nafasi ya 6Vipi lakini westham matokeo ngap ngap nembu tupe uchambuziii [emoji23][emoji23]
Wewe ndo ulisema Newcastle ni westham iliyochangamka na tayariii mmekula pakiti moja ya ndomu sasa subiri pakiti 2 ziiishe jumamosi