mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,709
- 19,568
I wish Kai aione hii comment yakoArteta huwa anasema ukipewa nafasi perform, kuna wachezaji wanapewa nafasi na bado hawaonyeshi kiwango.
Anaekuja kupewa lawama ni kocha, ila tujiulize! kweli kocha anastahili lawama kwenye mazingira haya!?
Na watu wanalaumu ooh Arteta hatoi game time kwa wachezaji wengine, Mfano Nelson, Trossard (as long as Martinelli is fit and Saka) sioni hao wakianza watokee bench tu.
Hata Rambo Raya will start all day anytime kwenye EPL na UEFA
Arteta sidhani Kama atakubali kumvumilia Kama nae atakua hivi hivi
Arteta ndio aliemleta Ramsdale. Leo anasugua bench Raya takin over
Kai inabidi alijue hilo