Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,824
- 57,424
Leo Kocha amezingua kupanga kikosi chakeHabari kubwa ni sisi kudundwa...Manunu haishtui kusikia wamefungwa tena sikuhzi hata kama wanacheza na gwambina
Leo Kocha amezingua kupanga kikosi chakeHabari kubwa ni sisi kudundwa...Manunu haishtui kusikia wamefungwa tena sikuhzi hata kama wanacheza na gwambina



Kufungwa sio tatizo but 3 Nil vs West Ham?kuna fans watakaosema hili ni kombe la mbuzi OK![]()


ila kauli mbiu si ilikua ni mpaka carabao tunalitaka vipi matumaini bandia yaneisha leo.Njoo ufanye editing mkuu, mlipata cha kufutia machoziKufungwa sio tatizo but 3 Nil vs West Ham?kuna fans watakaosema hili ni kombe la mbuzi OK![]()
Huu ujuaji wake ulifanya tukapigwa na Sporting Cp kwenye yuropa msimu uliopita ye hajifunzi tu.Arteta anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
N.B ipo siku tutaelewana tu
Wadau mnalalamika jaman
Sheffield, Burney, na type ya timu hizo kwa Arsenal hii sio timu za kutusumbua ,Sisi sio Manjesta iliyopakishwa Basi na Sheffield , Burney
Rotation muhimu wachezaji walianza kupata fatigue
Hata Saka bado hajarejea vzr
Kai Leo kacheza role ya Ødegaard
Raha ya timu yetu wachezaji wengi wanapiga namba karibu tatu tatu
Kai anaua LCM,RCM na CF
Smith anaua LCM,LW na RCM
Viera anaua LCM na RCM
Kuna mechi za wapiga Domo next week ,jumatano tuna CARABAO Cup na Westham
Tunayataka mataji yote






Watu walimaliza pakti
Tulisema tangu mwanzo KAI NI MZIGO in all matches has played ana goal 1 pekee la penalty ya kupewa hata assist hazizidi 2Kai,Viera na Jorginho kuwaweka wacheze pamoja ni kutumia akili za makalio,wote style yao ya uchezaji inafanana na wapo lainilaini sana,ilikuwa ni ujinga unacheza na Westham halafu unapanga viungo wote lainilaini,unaacha kumsajili mpambanaji Kudus unamsajili Kai Harvetz kwa pesa ndefu
"I don't think I have three World Cup winners that can think like this about the Carabao Cup."
Mikel Arteta on reports that Arsenal players are 'unmotivated' by the EFL Cup![]()