mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,060
Kikosi kipana,daaah aibu





Sasa kombe gani mtashinda Epl au uefa hamuwezi kushinda.Tunalose sababu Carabao Cup ni kombe la kifala au tunalose sababu Moyes amemzidi technique Arteta? I don't know

Mkimaliza kulaumiana mtujulishe tuanze kushangilia computerarsenalTunalose sababu Carabao Cup ni kombe la kifala au tunalose sababu Moyes amemzidi technique Arteta? I don't know
Hao hao walioanza wamalize izo ndo michuano yao.So far tumecheza vizuri
Joginho, Kai na Viera wamejitahidi Sana pale Kati lakini haitoshi
Joginho apumzike aingie rice
Nketiah atoke aingie martinel
Tisa akacheze Kai. False 9
Trossad aingie Kati
Martinel awakimbize pembeni
Upo sahihi kwa 100% chambuzi. So far so good.So far tumecheza vizuri
Joginho, Kai na Viera wamejitahidi Sana pale Kati lakini haitoshi
Joginho apumzike aingie rice
Nketiah atoke aingie martinel
Tisa akacheze Kai. False 9
Trossad aingie Kati
Martinel awakimbize pembeni
Hamis yuko wapi mzee wa squad depth ? , nataka mtuuzie Odegaard ,Martinelli ,saka ,mbaki na malapulapu hayo ,muwe mnaoigwa kipigo cha mbwa koko kila siku ninyi vikojozi taito kontendazHiki kikosi chetu cha pili![]()