Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiki kikosi chetu cha pili
Hamis yuko wapi mzee wa squad depth ? , nataka mtuuzie Odegaard ,Martinelli ,saka ,mbaki na malapulapu hayo ,muwe mnaoigwa kipigo cha mbwa koko kila siku ninyi vikojozi taito kontendaz
 
Kuna positives nyingi tu za kuchukua kutoka kwenye hii mechi. I hope we win the Newcastle game .
All in all our second team sucks asee.
Tusiposajili goal getter January tutapata shida sana.
 
Arteta ndio kaifunga team mwenyewe mi nilidhani 45dk kipindi cha pili kikianza anaingiza wachezaji wengine faster yeye bado ana delay delay mara chuma cha 2 dah am very disappointed in him today hata ramsdale kama katususia hivi maana hata alikuwa haonyeshi kujituma uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naheshimu anachotu offer Nketiah lakini timu yetu CF wa kumtegemea ni mmoja tu, GJ.

Kama January ikipita bila usajili wa straika, tusimtafute mchawi.
 
Arteta anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe
N.B ipo siku tutaelewana tu
 
Arteta kaanza na viungo wote hawajui kukaba plus vulnerable Zinchenko, halafu tupate matokeo!

Hao viungo hawajawahi kucheza hata siku moja pamoja..

Halafu utasikia mtu anakuambia bora tumuuze Partey january!

Hata alivyoingia Rice unaona kabisa mambo hayaendi, mpira unakuwa recycled at the end tunakua hatuna threat kabisa.
 
Back
Top Bottom