hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,302
- 26,696
Ametumika Sana ,anahitaji kupumzikaCaptain anaanza kama sub, hili ni funzo kubwa kwake. Safi Mikel.
Hawa wachezaji sio maroboti
Ametumika Sana ,anahitaji kupumzikaCaptain anaanza kama sub, hili ni funzo kubwa kwake. Safi Mikel.
Mchezaji haangaliwi YouTube coz kuna mengi huonyeshwi kama kakosea au kafanya vizuri.Kwa upande wangu huyu Zubimendi sijawahi kumuelewa kabisa tangu tunahusishwa naye msimu uliopita. Kwa hizi clips za YouTube anaonekana mchezaji wa kawaida labda nitafute mechi ya sociedad nimuone vizuri lhuenda akanishawishi
Wachezaji ambao nahisi Wana uwezo wa kutupa anachotupa Party ni Youssef Fofana na Andre wa fluminense
TrueAmetumika Sana ,anahitaji kupumzika
Hawa wachezaji sio maroboti
Kila mtu abaki na matatizo yake mkuu...mlitujazia sana nzi wiki hii pamoja na kutoa draw🤠🤠🤠...sijui mngebahatisha kutufunga ingekuwaje🤠🤠🤠...wiki ijayo mna Tottenham....Mungu awasaidie kwakwliTuuzieni Odegaard na Martinelli basi
Ngoja tuone mkongweI like to see Kai as RCM
Midfield ya Leo
Kai Rice Rowe
But sijajua Nani atakuwa RCM na LCM
Moja ya nafasi nyingine ya Kai Ni RCM , anaijua vzr kuliko LCM
Smith Rowe pia Ni LCM na RCM
Kafanyaje kwani??Captain anaanza kama sub, hili ni funzo kubwa kwake. Safi Mikel.


Braza Kai labda apewe tena penalty ndio atafunga. Rowe anasimamia show nzima
Hizi kauli hua sizikubali kabisa, jana tena kuna mtu anadai Rice na yeye apumzike. Ivi ni kwakua amekuja Arsenal tu au maanza sijawah sikia timu zingine zikidai wachezaj wake wapumzike.Ametumika Sana ,anahitaji kupumzika
Hawa wachezaji sio maroboti
Sawa utaelewa wakianza umia hapo January. Squad depth ni muhimu ndio maana Man City hawashikiki maana wanaweza pumzisha first 11 nzima na usione tofauti!!Hizi kauli hua sizikubali kabisa, jana tena kuna mtu anadai Rice na yeye apumzike. Ivi ni kwakua amekuja Arsenal tu au maanza sijawah sikia timu zingine zikidai wachezaj wake wapumzike.
Ni kweli ametumika but Captain kazingua sana game 3 za mwisho kiwango kimeanguka sanaAmetumika Sana ,anahitaji kupumzika
Hawa wachezaji sio maroboti