Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Kuona mamluki wakijazana humu kwenye jukwaa letu kunaashiria ukubwa tulionao, mechi imeisha sare lakini wapinzani wanahesabu tumefungwa.
Mpaka mashabiki wa Chelsea wameliacha jukwaa lao likiwa tupu na kuhamia huku.
Wakiongozwa na timu nyengine zote ikiwemo Man Utd, Man City, Spurs na Liverpool.
Na hapo hatujafungwa!
Sasa naamini kweli Arsenal inawaumiza watu wengi.
Chelsea ni mid table team kama Aston villa na Fulham, kukamia game ndo kawaida ya mid table teamYamekua hayo tena nyie kabla ya game si mlijidai mkisema itafikia kipindi hatagusa mpira kwa kiungo cha Ode,Mchele, na Babu. Kwamba mpaka half time atakufa goli 5
Kenge wakija Emirates tutakuja kupiga tuue
Muitunze hii
Sasa Unashangilia draw dhidi ya mid table team kuna walakini hapo kujiita title contenderChelsea ni mid table team kama Aston villa na Fulham, kukamia game ndo kawaida ya mid table team
Hiki kitu nilikiona arsenal mara nyingi saana inatokea hivi, yote kwa yote draw sio mbaya, ukizingatia tayari ngoma ilikuwa imeinamia kwetu.Game ya leo sitarajii iwe nyepesi, ukizingatia ni derby na chelsea ni kama vile wameanza kujipata pata,watataka wazindukie kwetu rasmi.
Kuna katabia ka mtu kuwekea rekodi kwetu, mudryk leo ni wa kumtizama sana, anaweza kutufunga.
Yote kwa yote natamani tushinde nyingi, tuoneshe userious wa kulisaka kombe
Unajua boli kakaAchana na mambo ya Form bana, Jana Arsenal walikuwa Terrible vibaya mno lakini still waliweza ku managed to come back from 2 goals down .
Biggest rivals wako anachomoa goal 2 nyumbani kwako bado mnaona ni kitu cha kawaida.
Kweli aisee arsenal Jana ilikuwa hovyo, Chelsea alistahili kushinda kulingana na nafasi walizotengeneza.. japo binafsi niwapongeze kwa droo walopata..Achana na mambo ya Form bana, Jana Arsenal walikuwa Terrible vibaya mno lakini still waliweza ku managed to come back from 2 goals down .
Biggest rivals wako anachomoa goal 2 nyumbani kwako bado mnaona ni kitu cha kawaida.
Hii nchi ndo maana inashindwa kupata maendeleo sababu kwenye bongo za watu kumejaa funza tu
Hivi anaeshangilia draw ya jana ni arsenal au kenge? Kwa arsenal draw tunahesabu tumeangusha alama ila kenge zinaona ni ushindi
Kwahiyo unakiri kwamba partey ndiyo ingine ya arsenal kwamba kina Ode martineli wanatumia kivuli chake uwanjani? Vip mkiwa na majeruhi kama Chelsea mtafurukuta kweli kama mechi moja tu partey hajacheza mnatoa ulimi ivi na kumlilia
Naomba nikukumbushe kaka, swala la mudy alitusumbui vichwa kwani Jana kafunga but aliyeletwa kuwa mbadala wake pia katimba ndani na kafunga, so automatic ilipunguza maumivu,
Ngoja ukutane nayo ndo utajua wanapata kwa shida au kwa rahaCity ya sasa bila De Bruyne wanapata matokeo kwa shida na zaidi bila Rodri hakuna viungo pale, so msijitape sana kwa hapo
Wewe sio mzima wa akili aisee,, hakuna beki wa kati wakumuweka nje Thiago Silva licha ya umri wake.So timu yetu ni Cucu na Gusto, wewe unajua vifaa vilivyo nje ya timu ni akina nani wacha upofu
------------Nkunku-------------
Sterling ----Gallagher -----Palmer
-----Caicedo --------Enzo--------
Chilwell ----Colwill ---Fofana ---James
-------------Sachez---------------
Kwani chelsea amekatazwa kua formKitu unachokwepa kukisema ni kwamba nyie mmekua kwenye form toka msimu unaanza while kwa Chelsea imekua ikisuasua. Ukiona comment kama hiyo kwa shabiki wa Chelsea ujue anaona improvement kutoka tulipokua.
Kwako its a shame kupata point 1 kwa Chelsea hii inayosuasua. Hatujawa kwenye ule ubora wetu uliofanya London ikawa always blue na ndio fahari ya London. We are coming back slowly
Tutatafuta sababu nyingi sana ila Chelsea jana walikua bora kutuzidi basi ndo ukwel huo hakuna kingine mzeeHiki kitu nilikiona arsenal mara nyingi saana inatokea hivi, yote kwa yote draw sio mbaya, ukizingatia tayari ngoma ilikuwa imeinamia kwetu.
Kwanini partey hakucheza!? Naona mtiririko wa timu haukuwa mzuri, odergard akapotea, jesu huduma akaikosa.
Kai akaingia akajikaza, jana kai kajitahidi.
Saka atafutiwe mtu wa kumpa challenge
Ndani ya hiyo comment yako kuna mambo matatu umeyafanya wewe mwenyewe.Kwani chelsea amekatazwa kua form
Au ni makosa ya Arsenal wewe pambana mbona Newcastle alianza kwa kusuasusa now anapambana kashakuacha parefu, achana na hoja mfu izo
Hahahaha saivi munashanglia droo maana mulikuwa na matokeo yenu mfukoni 😀😀 sisi bado tunajitafuta. Ninyi mataito kontenda imekuwaje mumeshindwa kubeba point zote tatu?!We hujielewi kweli. Yani umeshindwa kumaliza mechi nyumbani kwako ukiwa mbele kwa mabao 2 halafu unategemea uje kuifunga Arsenal Emirates?
Ukitaka jibu nenda kawaulize Man City walichokutana nacho.