Usijali tutakuja full nondoMjitahidi mechi ya marudiano muwe full halafu mje tucheze mkuuπππ....timu mna miaka sijui 4 sijui mingapi hamjawahi kutufunga halafu mnakuja na ngonjera za kijinga hmu....hyo miaka mingine tuliyokuwa tunawatungua mlikuwa na kikosi D kabisa sio
Domo kubwa kama vile Ligi imeisha, shikieni wanaume nafasi huko juu na muache kufyatua maneno kama vile hiyo ni nafasi yenu. Nani awapeWhere is your team in the PL table? Nyumbu na kenge wakijibu mnitag.
View attachment 2788953
Naona kuna raia wamekaa kwenye nafasi yangu hapo nakuja kwa kasi kuwatoa πWhere is your team in the PL table? Nyumbu na kenge wakijibu mnitag.
View attachment 2788953
Sikiliza mkuu....mpira huwa hauongelewi kwa namna hiyo....form ya timu ndo huwa ina determine watu kusema mechi ijayo timu itashida au laaa...sasa nyny mnazungumza kishabiki vitu ambavyo havipo....hivi kwli kqbisq unasema nyukesto sijui West Ham ni giants pale uingereza tena unasema watamfunga arsenal...unakuja unasema sijui tumedraw na timu kubwa kama Fulham kwli????....na Man city naye aliyebondwa na Wolves na sisi...utasema kesho kutwa akikutana na Manunu atabondwa kisa kafungwa na hzo timu...its about the form na the way timu inavyocheza sio ushabiki...ww sasahvi unasema Manunu anarudi top 4 lakini kiuhalisia hilo hatulioni kwa namna mnavyocheza....kuna timu zinacheza vzuri sana kuliko nyny na zipo pale juu....sasa ukitaka kuzungumza kishabiki that's fine ila kimpira kabisa...tactically...sioni miujiza kwa ndugu zangu Manunu na Chelsea haka karatiba kao kwakwli...mungu awalindeRead between the lines Ukiangalia kishabiki huwezi kuielewa hii comment
Sasa kwanini Jesus acheze kwenye nafasi ambayo Kai anafanya vizuri Zaidi?Jesus acheze CF but kwa mech za kawaida, ukiangalia Silva na Colwill ni warefu Sana ,
Tungeanza na Kai CF Wala wasingemsumbua ,Kai alipoingia akiwa dominate Silva na Colwill, tukaanza kupata nafasi
Endeleeni kujitafuta na haka karatiba kenu....mtapata point 4-5 maximum....hamvuki hapo...na next time mkija Imarate....tunawakumbusha msimu ulioisha zilikuwa 3....safari hii ni nne...kutufunga nyny ni mpk mwaka 2030πππUsijali tutakuja full nondo
Score 1-4 (Dozi kama ile ya Baku)
--------------Victor O---------------
Mudryk --------Nkunku---------Palmer
----- Caicedo ----------Enzo----------
Chilwell ----Colwill/Badi---Silva/Disasi ---James
------------Petrovic-----------------
View: https://twitter.com/i/status/1715856411798749611
Dogo humu tunaongea habari ya Arsenal kuwa the invincibles, habari ya Arsenal kudominate Anfield / Etihad, habari ya Arsenal ku compete dhidi ya Pep Guardiola kwenye makombe, hapa hatuongei habari ya 'ooh tumecheza vizuri mechi nne zilizopita' sijui oooh bla bla bla. Understand?Tutapeleka muswada wa dharura, ili mruhusiwe kufanya usajili mwezi huu.
Maana kipindi wenzenu wanasajili, nynyi mlikuwa likizo
Pumba grade FEndeleeni kujitafuta na haka karatiba kenu....mtapata point 4-5 maximum....hamvuki hapo...na next time mkija Imarate....tunawakumbusha msimu ulioisha zilikuwa 3....safari hii ni nne...kutufunga nyny ni mpk mwaka 2030πππ
Sio kitu cha kawaida ila ninachosema mimi sikutegemea hata kuwa na uongozi wa goli mbili kwa bila dhidi ya Arsenal kwa hiyo hata mlipofanya comeback kulevel sikua shocked kutokana na mwenendo wetu toka ligi inaanza. Nyinyi wenyewe najua mliamini mnakuja kushinda darajaniAchana na mambo ya Form bana, Jana Arsenal walikuwa Terrible vibaya mno lakini still waliweza ku managed to come back from 2 goals down .
Biggest rivals wako anachomoa goal 2 nyumbani kwako bado mnaona ni kitu cha kawaida.
Hii ni kwel kabsa kai anaanza kua mtamu sasaKai as CF anazidi kuonesha anatakiwa kucheza hapo
Two games in a row Kai Havertz has come on and made the difference for Arsenalβ¦
vs Manchester City - won the knock down which lead to Gabriel Martinelliβs winner.
vs Chelsea - won the knock down before Bukayo Saka set up Leandro Trossard for the equaliser.
Kai Havertz is starting to make the difference in big moments. Very promising signs.
Naunga mkono hoja Rowe abaki jaman kwa gharama yyte ileJanuary tuingie sokoni Kuna watu watupishe
Kai Jana nimemkubali, na alivyoingia Kai tu Raya akaanza kucheza mipira kirefu
Rowe is player inabidi tumtunze at all cost
Nketiah Kama bahari, kupwa na kujaa
Tactic aliyoingia nayo pochetino ni kamata odegaard, arsenal itacheza kwa taabu
Mkuu ntakutafuta mkishamaliza kucheza na Manunu tupige hesabu points mlizokusanya...tano hamvukiπππ....Pumba grade F
Saka hayuko fit lakini ametoa Assist mbele ya Cucurella aliyemkamia!
Leo nimeamini Chelsea fans hawajui mpira kwahiyo Cucurella kamficha Unfit Saka with Assist
Mlishinda goli ngapi jana? Alama tatu mlipata?Mefanywa kwa nyuma leo na huyo mnayemdharau hamna akili nyie
Kama Partey ndo angeshika dimba, Chelsea wasinge tushika kiasi kile, uwezo wa Partey mkubwa sana kwenye ku win duel na kupandisha timu kwa ku pass through na long ball zenye macho, kitu ambacho kinge wafungua chelsea na kuwapa uhuru ode na forward line kufanya yao. Kukosekana kwake kukafanya znchenko kutumia mda mwingi kati na kusababisha kuchelewa ku recover nafasi yake so kukawa njia thanks kwa sub ya mapema ya Tomiyasu. Ila kiukweli under perfomance ya joginho n chanzo ya yote.
Sijajua adi sahv sababu ya arteta kutomchezesha kabsa Partey. Lakin ukweli uko waz Partey ndo Cheat code yetu ya kufungua mabano pale kati, kama tukishindwa kufungua na yupo ndani hapo ndo naamn game tumeshikwa.
joginho n mchezaj mzur game ikimkubali ila jana alichemka sana, sub yake ilitakiwa iwe sambamba na ya znchenko.
Note hiiHamna timu pana ninyi, asingecheza Saka hiyo assist angetoa nani? RW angecheza nani
Na hii ndiyo itakayoifanya Arsenal msimu huu mshindwe hata kubaki top 4, mkikumbwa na majeruhi kama yetu ndipo akili yenu itaelewa maana ya deep squad
Last season city alipigwa nje ndani na Brentford, akatoa sare na forest je iyo ilifanya asiwe contender?Unapelekewa pumzi ya moto na Chelsea hii imejichokea halafu unajiita title contender?
Hii nchi ndo maana inashindwa kupata maendeleo sababu kwenye bongo za watu kumejaa funza tuArsenal iliyokatika peak ambayo ina wachezaji hatariii zaidi na verstalite, inayorusha jezi juu kupata first eleven inashangilia draw against Chelsea ambayo ipo katika hali mbaya kuliko kipindi chochote kile . Hapo utajua kwanini hii team ni ya ma false hopers.
Chelsea imetukosea sana kurudishiwa yale magoli 2 na nafasi za wazi za palmer na jackson.