Matokeo ya Mechi ya Simba na Ahly yawe fundisho kwa mechi ya kesho ya Arsenal na Chelsea,wengi walijua Simba atafungwa magoli mengi lakini haikuwa hivyo,sasa matumaini ya KIPUUZI tunayoaminishwa na kina Hamis humu kwamba eti kesho ni USHINDI kirahisirahisi tu kana kwamba wachezaji wa Chelsea wana mguu ni vema yapuuzwe,Mpira una matokeo ya ajabu sana