Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaka lile goli la kwanza la soton inachangiwaje na saliba? Hata gem na city goli la kdb angeweza lizuia

Shida yake ni moja hana utulivu ana mapepe sana golini
Hata game Ile ya liver, wengine wakamtetea ameumia.

Haya magoli wanayotufungaga manyumbu ni mepesi tu, ikipigwa counter Ramsdale anakuwa na wenge, ukimlenga, kamba. Unaishia kumtukana tu
 
◉ Ødegaard new deal at final stages;

◉ Fantastic connection Arteta-Edu;

◉ White new deal, Nwaneri future new contract;

◉ Coaching staff impressed by Raya;

◉ Toney deal conditions clear;

#AFC Here we go podcast @MenInBlazers — full episode: wondery.com/links/the-here…
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
Aliemuelewa huyu kaandika nini atusaidie..
 
Hakuna kondoo atakaelewa nilichokiandika.

Sure kabisa hakuna kondoo ataelewa ulichoandika, wanaenda na upepo tu hawa ndo maana ya kondoo ukimwambia sasa tunaenda huku yeye anafuata tu.

Ramsdale saivi wanamponda kabisa mpaka unashangaa hawa fans wa false hope team wakoje wamesahau kabisa zile save alizofanya against liverpool, Bournemouth, Brentford na Tottenham.

Game za Raya 2 tena against Everton & PSV ambazo everton alikua ana shot 1 on target.
Sema sio kitu cha ajabu kwa ma false hopers yaani kuwa arsenal fan ni kituko kabisa.
 
Brighton kamiliki mpira kwa 70% ila ameshindwa mzuia Athens.

Athens ni regular wa mashindano wakati Brighton ni mara yao ya kwanza kua hapo. Either way bado siamini kama Athens ni wazuri mno kuliko United.

Shida ya united ni kocha
 
sawa anamuamini sana Arteta vipi baada ya kumuamini huko alitoboa?
Msimu ulioisha alikua anatuamisha humu kwenye mechi za mwisho za ligi anampiga liverpool Anfield halafu atampiga Mancity nyumbani kwake kisha akabidhiwe kombe lake, humu wenzake wakawa wanamkanya asipende kuchukulia mambo simple simple aliwabeza na kuwaita mamluki baada ya kuanza kuchezea vipigo vitakatifu Msingeli si alitukimbia humu kabla hata ya ligi haijaisha?
Masingeli ndugu yangu unauponza ujueee
Suala la kutoboa ni jingine kabisa, na kumwamini kocha anachokifanya ni suala lingine. Wewe sasa hivi una haki ya kutomwamini ETH, ila mimi Kama shabiki la Arsenal namwamini Arteta, mwache afanye kazi.
 
Ila mwanangu Masingeli una kipawa kikubwa sana kwenye ushawishi, yaani kuna watu humu wameshaanza kumsifia kabisa Kai Havertz baada ya kusikiliza mapambio toka kwa Masingeli.
Masingeli ngoja nifanye mchakato halafu nikutafute tufungue kanisa letu la upako tutapiga pesa kinyama mno ndugu yangu.
Kwenye kanisa letu tusisahau kuwachukua na chawa wako arsenal2004 pamoja na mkorea wakusaidie kwenye kazi ya unabii
Flano Kai hasifiwi (sio BONGE la chezaji) ila sio mbovu kama anavyosagiwa kunguni.
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
Badala ufatilie timu lako bovu litatoboaje hapa lisiingie kwenye kushuka daraja

Unakuja kupiga ramli chonganishi humu

PSV Wana uwezo mkubwa kuliko timu lako la ukengeni

Everton unaowadharau akishinda mechi moja tu anakupeleka mkiani

Tofauti ya Everton na chelkenge Ni ipi
20230918_165359.jpg
 
Brighton kamiliki mpira kwa 70% ila ameshindwa mzuia Athens.

Athens ni regular wa mashindano wakati Brighton ni mara yao ya kwanza kua hapo. Either way bado siamini kama Athens ni wazuri mno kuliko United.

Shida ya united ni kocha
Kwani, statistically, 7ha si amefanya vizuri sana tu? Last season walianza vibaya lakini aliipandisha timu mpaka kumaliza top four. Msimu huu mechi si zimechezwa chache sana? Si wanapaswa wamuache zake tu asuke arekebishe mapunufu yanayowasumbua na wakae vizuri tena?
 
Flano Kai hasifiwi (sio BONGE la chezaji) ila sio mbovu kama anavyosagiwa kunguni.
Kuna ndugu zako humu kazi yao ni kumsifia Kai kama vile hapo Arsenal hakuna wachezaji wenye uwezo kuliko Kai, mbaya zaidi wanalazimisha kumfananisha Kai na fundi Ozil, hawa jamaa mimi ndio sikubaliani nao na nikiwaambia Kai ni average player wanakasirika na wengine wanasusa mpaka kula.
1694591315583.jpg
1694591387016.jpg
 
Tusimsahau na Trossard anavyosaidia kuziba pengo la Martinelli.
Jamaa anakupa goli ama assist ama vyote.
Jana kuna pass alimpa Jesus akafunga goli la tatu. Cross ilikuwa nzuri na laini sana kutuliza kiasi kwamba Jesus hakuwa na kazi kubwa kufanya ili kufunga.
Ila pia mliona jinsi Trossard alivyoona tu Jesus anautuliza mpira, akaanza kunyanyua mikono kushangilia. Ni kama alijua kabisa jamaa akishatuliza huu mpira ni goli.
Jamaaa anajua mpira kiuhalisia,hata goli alilofunga sio rahisi kihivyo
 
Wakati Xhaka anacheza ilikua timu ikipata mpira anaenda kuhold kushoto kwenye mid ili kutoa support kwa Martinelli au kumpa chance Martinelli ya kuoverlap.

Kisha timu ikiadvance anakua nje ya box. Kutegemea na attack anaweza na yeye akaingia kwenye box au akaendelea kubaki hapo. Kwakua Xhaka hana mbio nahisi hakua anarisk kujisahau kuingia kwenye boksi kwakua angeshindwa kurecover.

Pia Xhaka alikua anatoa pass kushoto, kulia, mbele na nyuma.

Kai timu ikipata mpira instinctively unamuona anazama deep kwenye next phase ya attack kwamba sasa ushamuona anaenda mpelekee mpira au ucheze naye 1 2.

Ila Kai hana vision. Siyo mzuri kwenye accuracy ya pasi lakini pia kwa timu yetu na jinsi yeye anavyoanza kukimbia namna pekee anaweza zicheza 1 2 ni ama iwe counter au amuone Odegaard upande wa kulia anavyoushughulikia. Ile instinctively kukimbia mbele wenzake wanashindwa kumpa mipira kisha mtazamaji naona anafanya iwe ngumu kugewa mpira muda goli linatafutwa na kuona jamaa anakimbia pasi.

Timu imepiga jumla ya pasi 520 katika hizo Kai ni amegusa mpira mara 45 tu na imemfanya awe wa mwisho. Pia ndiye aliyepoteza mpira mara nyingi.

Kuna mshkaji kamuuliza zitto junior kwamba kwa Rice ulisema hivi na vitu kama hivyo.

Yaani shabiki anaona uvivu kucounter hoja hivyo anaamua kukuletea ukumbusho kumaanisha kwamba ulishawahi kukosea once so hata hapa hauwezi kua sahihi. Zitto naye akianza kufukua vitu kuonyesha kwamba alishawahi kua sahihi hata mara 100 hua mnakasirika.

Timber kacheza mechi moja na wote tukasema hapa tuna mtu.

Rice ananunuliwa kabla ligi haijaanza nikasema kumuuza Partey kisa Rice kaja ni risk, wabaki wote kwanza kipindi Rice anazoea mazingira. Well game ambazo Partey alikuepo tukakubaliana humu kua kweli Partey ilibidi awepo ili Rice azoee polepole.

Wakati tunasema hivyo Rice hakua mbaya, ila hakua anafanya alichokifanya kuanzia game ya nne (hesabu kuanzia ya City) ile siku jamaa alionyesha upande mwingine kabisa mpya na ndiyo yupo nao mpaka mechi ya mwisho mimi kuona.

Rice ameadapt fasta. Timber kaja na kuonyesha haimsumbui kukaa kule kulia. Kai bado anajitafuta, ndiyo kusema hatutakiwi kusema kua jamaa anajitafuta? Hata sisi tusiposema takwimu zinasema. Kila game zitaonyesha mchezaji kafanya nini, akifanya sawa watu wakibisha takwimu zitasema pia.
Narejea hapo ulipojibu nilichomuuliza ZittoJr,

Mim pia nilikua miongoni mwa niliokua na mashaka makubwa kwenye eneo ilo la Dm kwa Rice ila ulivyoanza kujibu ni kama nimeuliza kwa kutaka kumkosoa ZittoJr au nimeuliza Maoni yake kwa sasa juu ya Rice eneo hilo.
 
Wenzangu kina Nani ? Mimi niliweka mtazamo wangu aisee

Kwa mpira tunaopiga Arsenal ,hata manjesta mlishuhidia hamkusimuliwa dk 100 ,on target 2 Kona 2, mliingia box la Arsenal kwa 12% lowest record since 2006/2007

Pep juz kasema alikuwa anaangalia mechi ya Arsenal na Everton , akasema Jinsi Arsenal ilivyoimarika akaitaja na Liverpool

Wakamuuliza na manjesta je?

Akaangua kicheko


Sasa Nikisema mm hapa mchambuzi nguli unasema muongo
nipatie link ya Guardiola anavyoangua kicheko ili tucheke wote.
Sitaki kuamini kama Guardiola alicheka kama hivi
 
Kaka lile goli la kwanza la soton inachangiwaje na saliba? Hata gem na city goli la kdb angeweza lizuia

Shida yake ni moja hana utulivu ana mapepe sana golini
Em acheni utani asiee lile goli la KDB huwez zuia pale mtu kapiga mua alf chini pembeni unasemaje angeweza kuia, Ode magoli anayofungaga ya aina ile tunampa sifa sana ila kwa KDB unasema angeweza kuzuia lile huwez kuzuia mzee
 
Back
Top Bottom