Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Aiseee kwenye game zote izo anatoka na goli mbili tu za kufunga basiHuyu asikusumbue ,vichwa maji Kama Hawa niachie ,kuanzia Next week nataka niweke kambi jukwaa Lao nitakuwepo miezi miwili
Timu ipo nafasi ya 11 tutaichabanga iende nafasi ya 13
Halafu nitaanza kutembea na hii ratiba Yao mpaka nihakikishe wanashika nafasi ya 17,
Nitalikodi jukwaa Lao kwa miezi miwili
I will be there no matter what
View attachment 2784015