gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,942
- 6,139
Hizi ni assumptions ambazo unaweza shindwa ku-defend. Ina maana Jesus, Martineli, Tierney Vieira wanaoumia mara kwa mara nao ni kwa sababu ya umri.
Kwanini Mesi na Ronaldo hawaumii mara kwa mara?
Mere unproven assumptions
Of course, ni assumptions tu ndio maana nimesema “inawezekana” na moja kwa moja nikajaribu kuhusianisha uwezekano huo na issue yake ya kutaka kuuzwa huku kila mtu anakiri na hata usipokiri Partey anadhihirisha kuwa bado anahitajika Arsenal na hatujawa na “perfect substitute” yake.
Sijamlaumu wala sina uthibitisho wowote zaidi ya kujibu ‘jokes’ alizo raise makaveli10 na hamis77