Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

️ Arsenal are more than confident to get new deal done and sealed soon for Ben White. Negotiations are ongoing since August/September, as reported earlier.

White, happy at Arsenal as club want his new contract sealed after Odegaard signed last month.
 
Sijibishanagi na mtu anayejiita mshabiki wa Mamacita

Maana Ni sawa na wanawake ambao kila timu inayoshinda wanashabikia
Dogo utakuja kufa na stress,unaandika takataka na kujaza severs za jf ,kama huna Kazi katafute uache kushinda jf kama Tahira anayetembea jalalani ...

Mtoto mdogo anashabikia Arsenal , kama hujarogwa basi Akili yako haiko sawa
 
Mohamed Elneny:

"I’m working really hard like always and trying to go back into the first XI for Arsenal. For sure, it’s my goal this year.

I know I’m coming back from a long injury and this is what I’m doing in the training ground; fighting, fighting to come back." [Standard]
 
GABRIEL TEODORO MARTINELLI

Mikimbio yake na ubora wake mbele goli unanikumbusha Sanchez upande ule wa kushoto ,bila shaka baada ya Sanchez hakuna mchezaji aliyefit vizuri nafasi mpaka ujio wa bwana wa Teodoro.

Show zake si za kitoto Trent na Reece James wanaelewa mziki ambao huwa wanakutana nao kila Mara wakikutana na martinelli bila kusahau goli lake dhidi ya Chelsea huku kante akiangusha kama gunia katika ubora wake.

Alianza kutumika kama striker lakini ubora wake umeonekana zaidi akicheza akitokea pembeni chini ya arteta ambapo msimu uliyoisha alimaliza na magoli 15 akiwa sawa na firmino kwenye record ya wabrazil wenye magoli mengi ya ligi kwa msimu mmoja.
20231013_181735.jpg
 
Declan Rice on why he chose Arsenal over Man City and other clubs:

"I have to say the manager (Arteta). The moment I met him I knew he was the one I wanted to take care of next part of my career.

The way he spoke, his aura, the way he sees the game." [Channel4]
20231016_180933.jpg
 
Mwaka huu hata Carabao nilisema tunalitolea macho Tena mawili ,

Kule Carabao tuna kina Aaron Ramsdale , Trossard,Jorginho

Tuna kihunzi Westham , tukipita hiki

Tukutane fainal pale WEMBLEY kwenye Carabao

Tukimpiga Westham ,tunaingia Robo , tunacheza Emirates
 
Ratiba yetu ilivyo inatakiwa tukusanye points nyingi iwezekanavyo

Nia tunayo uwezo tunao

Upande wa UCL sijawahi kuwa na wasiwasi sababu tulishajiandaa kwa Hilo

Tukutane Robo fainal ,huku group stages tutaongoza kundi, Round ya 16 tutapita

Kwenye Robo ndio tunatakiwa kuwa watulivu hapa tutakutana na timu ambazo ukikaa vibaya zinakupeleka hatua za penalties

But tumejiandaa kwa Hilo ,

Una backline ya

White Saliba Magalhaes Timber

_______ Partey Rice ______

Tumecheza na mancity Mara 2 msimu huu wanashindwa kabisa kutoboa ,mechi ya kwanza kwa dakika 100 wanapata On target 2 ,mechi ya 2 kwa dakika 94 wanapata On target 1 ,hii Ni mipango ya Champions League, ninaposema UCL wakutusumbua Ni mancity Kuna watu wanaona nafanya jokes

Hiyo Ni February , Timber kasharudi , tunaitafuta Nusu fainal na fainal

SION SABABU YA KUTOKUWEPO PALE WEMBLEY MWEZI MAY

View attachment 2783810
We unamuongelea City champions league umesahau kuwa Lens kakupasua 2 na ukuta wako huo unaousifia kila siku?
Ki msingi ile man city ilikuwa kilema na mliingia kwenye ule mchezo kwa kupania sana ili kuthibitisha jambo of which limewasaidia kuwapa morali.
Masingeli unajisahau sana.
 
Haya mambo yapo sana, kuna mshakaji pia tulikua naye kitaa ni mwanangu tulikuwa tunapiga boli pamoja ila amenizidi miaka miwili na madarasa mawili tangu primary na baadaye sekondari moja.

Basi nikiwa form two yeye akamaliza form four, kwa miaka ya tisini std seven unamaliza na 15yrs so ukiongeza na minne ya sekondari akawa na 19yrs ila baada ya kumaliza form four, mwaka unaofuta akacheza under 17 national team na akendelea kwa mwaka mwingine.

Baada ya hapo akasajiliwa na JKT Ruvu wakampa na ajira, akamalizia soka lake hapo ila mshkaji alikuwa bonge ya player na ni versatile haswa. Alikuwa anacheza CB, holding midfield, attacking mid, both wings na ni CF hatari sana.

Huyu kama angekuwa spotted mapema angeenda nje na naamini angekuwa na career nzuri sana kwa mazingira ya wenzetu ila ndio hivo kwa familia zetu tulikuwa tunazuiwa ‘kuzama’ kwenye soka kwa kuwa mpira haukuwa na defined future kipindi hicho.
Bongo vipaji viingi sana vinapotea.
 
We unamuongelea City champions league umesahau kuwa Lens kakupasua 2 na ukuta wako huo unaousifia kila siku?
Ki msingi ile man city ilikuwa kilema na mliingia kwenye ule mchezo kwa kupania sana ili kuthibitisha jambo of which limewasaidia kuwapa morali.
Masingeli unajisahau sana.
Huyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboa

Hatusemi hatufungwi ,hata Ac Milan 2007 alipigwa na Lens

Hata Madrid ya Zidane ilifungwa na Timu dhaifu ya kina Peter Banda aliyefeli Simba

Kama unajiamini, weka laki hapa lens akija Emirates anakula 3+

Eti mancity alikuwa kilema ,nimembutua Mara 2 msimu huu ,

Nyie kila siku mnasema Wana kikos kipana Leo unasema walikuwa vilema

Mashabiki wa manjesta lini mtakuwa na akili ?

Walikuwa na Rodri ,Kdb tuliwapakisha Basi wakatema bungo ,au mnajisahaulisha
 
“One thing is for sure, Arsenal are a better team than they was last year because of Declan Rice.”

Tim Sherwood says Arsenal have a better chance of winning the Premier League this season because of Declan Rice and he could be the difference for them.
 
Moja ya Dharau wanafanya mashabiki wa Chelsea mitandaoni na kwenye platforms zao wanadai Levi Colwill Ni zaidi ya Gabriel Magalhaes

Levi Colwill hajafikisha hata mechi 20+ za EPL

Hajafikisha dakika zaidi ya 2000

Huyu Levi Colwill anacheza LCB ,wanamtumia Kama LB

Atakutana na Saka ,dharau Kama hizi zitajibiwa Jumamos
 
Huyo Lens uliangalia mpira ?una uhakika Lens akija Emirates ,ukiweka agregate atatoboa

Hatusemi hatufungwi ,hata Ac Milan 2007 alipigwa na Lens

Hata Madrid ya Zidane ilifungwa na Timu dhaifu ya kina Peter Banda aliyefeli Simba

Kama unajiamini, weka laki hapa lens akija Emirates anakula 3+

Eti mancity alikuwa kilema ,nimembutua Mara 2 msimu huu ,

Nyie kila siku mnasema Wana kikos kipana Leo unasema walikuwa vilema

Mashabiki wa manjesta lini mtakuwa na akili ?

Walikuwa na Rodri ,Kdb tuliwapakisha Basi wakatema bungo ,au mnajisahaulisha
Real Madrid 1-2 Sheriff Tiraspol (Sep 28, 2021)
 
Mkuu unajua kupiga spana
Unatembea na fact mwanzo mwisho

Inajulikana city anakikosi kipana, Ila alivyobamizwa na arsenal tu wanaanza kugeuza maneno
 
Mkuu unajua kupiga spana
Unatembea na fact mwanzo mwisho

Inajulikana city anakikosi kipana, Ila alivyobamizwa na arsenal tu wanaanza kugeuza maneno
Mashabiki wa manjesta hawawez kuelewa mpira wao wamezoea Pass moja kwa Bruno amtafute Rashford wapate goli

Ukiwaambia mambo ya double pivot,half space, lone DM,lone Striker ,inverting,overload ,pressing ,wanaona unawakejeli
 
Niliwahi sema timu nyingi kule UCL Ni unga unga mwana ,Kuna Kenge zilinibishia Sana

Leo Bayern anamvizia free agent Sokratis aliyeachwa Arsenal

Huko UCL Ndio Kuna kina manjesta ambao wakicheza na baryen wanapaki basi
Screenshot_20231016-201734_1.jpg
 
Mkuu unajua kupiga spana
Unatembea na fact mwanzo mwisho

Inajulikana city anakikosi kipana, Ila alivyobamizwa na arsenal tu wanaanza kugeuza maneno

I am still surprised why City let Gundogan go? Not sure if city have already found his replacement. Yule bwana alikuwa anawabeba sana city kwenye critical moments.
His void will be felt this season
 
I am still surprised why City let Gundogan go? Not sure if city have already found his replacement. Yule bwana alikuwa anawabeba sana city kwenye critical moments.
His void will be felt this season
Mimi pia humu niliwai kusema nguvu ya city ni gundogan, kdb, bernado

Gundogan amesepa zake
Bernado pia alikua anahusishwa kuondoka

Haaland ni mzululaji mzuri timu ikikamatwa, sio mchezaji ambae anaweza akapindua meza
Mara kadhaa tumeshuhudia Hilo

Ata wakisema city na arsenal warudiane city ndio atarusha kitaulo uwanjani
 
Game na kenge, Kai atatokea bench
Arteta anajua kucheza na hiz mind games

Kai anaingia wameshaloa kamba 3,
uwanja umeinama
Watoto mchele mchele wanapelekewa Moto View attachment 2783738
Hao viazi tutamkadhi Ghalladog na Caicedo wawaminye mpaka waite maji mma , ni kula viatu na mbata za kutosha , hasa huyo Thomas/ kiwete mzee aliyedanganya umri
 
Back
Top Bottom