[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli banaaa kwa kua wewe binafsi unamkubali Kai Harvez basi unatafuta uhalali wa kumtetea kwa njia yoyote na kuwaaminisha mashabiki ili nao wamkubali.
Mchezaji akiwa mzuri wala haina haja ya kutumia nguvu nyingi kumtetea, atajitetea mwenyewe uwanjani kwa kuwaprove wrong wote wanaomkosoa.
Hata ukija na matakwimu yako uchwara ya Aerial duel, Interchange, flexibility na pressing Kai bado ni mzigo na ataendelea kua mzigo kwenye timu yenu.
Kai ni kama fenesi tu, ukiliweka ndani hata ufukize kwa marashi ya kila aina bado litaendelea kunuka tu ndani ya nyumba.
View attachment 2778470View attachment 2778471