Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Next step ,naona nikutafuta CF wakueleweka ,mwenye profile tofaut na tulionao , na nketiah nadhan safari yake itawadia

Kwa Nketiah Hatuwez kukosa €40-45m
tulipaswa kumpa baraka zetu tu alivyofikisha mwisho wa mkataba wake badala ya kumpa mpya wakati ule
 
Yaani watu kumfunga man city washatoa na kauli kwamba kati ya makombe mepesi kubeba ni UEFA .

Kauli hii imetolewa baada ya ushindi wa game ya 8 kati ya 38, mtu anayesema UEFA ni kombe jepesi kubeba timu yake haijabeba kombe hilo kwa miaka 80+ na EPL miaka 20+.

False hopes hazitaisha mpaka ukamilifu wa dahari.
Ww na nyukesto yako mmebeba lini😀😀...rudi tena kwny msimamo kaangalie pale kigenge chako kiko nafasi ya ngapi na wale wanaume walokuwa wanapambana jana wako nafasi ya ngapi....pundits wakubwa kabisa wanakuambia Arsenal ni among Title favourites halafu ww mlugaluga wa Nanyamba huko unakuja kutuletea habari za sijui miaka 20 sijui miaka 80....kwni hao City kabla ya kubeba na Mancini kombe la EPL walikuwa wamebeba kombe mara ya mwsho lini...Guardiola kacheza UEFA miaka mingapi na City ndo wakaja kuchukua msimu huu...ina maana miaka yte walikuwa kuna sehemu wanakosea wamerekebisha wamebeba ndoo...sisi tumepoteza mwaka jana mwaka huu mechi nane tupo tyri pale juu....sasa tusiwe na hype kwmba mwaka huu tunaweza kufanya vzuri kisa mwaka jana tulibugi...mpira wa wapi huo😀😀...nyny endeleeni kuvutana na Manunu huko chini hzi anga za huku juu waachieni watu wazima....nyny bdo ni watoto wadogo sana
 
You wish. Mechi nane mmejitangazia na ubingwa tayari
Unaumia ukiwa wapi ewe nyumbu?
20230903_212812.jpg
 
Ww na nyukesto yako mmebeba lini😀😀...rudi tena kwny msimamo kaangalie pale kigenge chako kiko nafasi ya ngapi na wale wanaume walokuwa wanapambana jana wako nafasi ya ngapi....pundits wakubwa kabisa wanakuambia Arsenal ni among Title favourites halafu ww mlugaluga wa Nanyamba huko unakuja kutuletea habari za sijui miaka 20 sijui miaka 80....kwni hao City kabla ya kubeba na Mancini kombe la EPL walikuwa wamebeba kombe mara ya mwsho lini...Guardiola kacheza UEFA miaka mingapi na City ndo wakaja kuchukua msimu huu...ina maana miaka yte walikuwa kuna sehemu wanakosea wamerekebisha wamebeba ndoo...sisi tumepoteza mwaka jana mwaka huu mechi nane tupo tyri pale juu....sasa tusiwe na hype kwmba mwaka huu tunaweza kufanya vzuri kisa mwaka jana tulibugi...mpira wa wapi huo😀😀...nyny endeleeni kuvutana na Manunu huko chini hzi anga za huku juu waachieni watu wazima....nyny bdo ni watoto wadogo sana
Wote tunajua script ya Arsenal mwisho wa msimu ni vilio tu😂

Historia ya Arsenal miaka 20 EPL haina tofauti na POVERTY CYCLE😂

CcnQHkYWEAAme5T.jpg
 
Kai atakuwa anacheza CF au LCM pale panapohitajika

Timu ikiwa fit ,Kai atasubiri bench kupokezana na Jesus
Kai havertz sio LCM, at lcm tutamtukana kama tunavyofanya, Havertz ni CF, moja ya kitu kilichofanya tusuesue toka mwanzo wa msimu ni Mikel Arteta kufeli kubalance hizi attacking dynamics. Havertz kwenye LCM ni bora tumrudishe Xhaka January.
 
Kikosi kikiwa full kabisa our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice

Kai anakuwa False 9

Amecheza LCM sababu tulipoanza Ligi

Zinny alikuwa injury ,hivo Partey ikabid atumike Kama RB Inverted ,
 
• The longest winless streak between Arsenal and Manchester City was between 1992 and 2006, as Manchester City was unable to beat Arsenal during this period.

• The two teams faced off 19 times during this period, with Arsenal winning 16 times and drawing 3 times. During this period, Arsenal scored 39 goals against Manchester City, while City scored 9 goals.

• There were no direct confrontations between the two teams in the league in the years 1997, 1998, 1999 and 2000 due to Manchester City’s relegation to the lower division. [@EPLworld ]
 
Nyie kondoo ndio kwanza mechi y 8, punguzeni matarajio. Mtaumwa kisukar mwisho wa msimu.
After international break inabidi tukupige hata 5-0 kwako ili uwe na adabu

Umekuwa na kelele sana
 
Back
Top Bottom