[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
[emoji1621] Nianze kusema Makosa Yapo Mchezaji anaweza fanya kosa kwenye given task kimchezo hii ipo sana tu
[emoji1621] Ila hapa nataka Nizungumzie kitendo cha Raya kuchelewesha kupiga goal kick je ni makusudi au ilikuwa kitu gani?
[emoji1621] Maana karibu mara 2 kidogo wapinzani wamcatch kwenye upigaji wa mpira Tuzungumze kimbinu Zaidi ili swala!
[emoji1621] Ukingalia Tactical Eye utagundua Raya kuchelewesha kupiga kule mpira ilikuwa ni maelekezo alipewa acheze hivyo
[emoji1621] Lengo la Kufanya vile ilikuwa kukaribisha press ya Man city na kuacha gapes nyuma yao ambazo tulitakiwa kutumia, yaani wakija kupress Basi ipigwe ndefu inaswe na CF ambaye alikuwa nketiah
[emoji1621] Sema shida inaonekana kama Raya alikosea ila iisue sio Raya issue ilikuwa effective pressing ya City ilikuwa ya hali ya juu
[emoji1621] Kingine Arteta alihitaji kubeat hiyo press ya City kwa kupiga mipira mirefu Shida ikawa ni Nketiah kuwin ile mipira mbele sijui kimo au positioning
[emoji1621] Ila Second half baada kuingia Kai nadhani sasa tulielewa Concept Why Raya alikuwa anapiga long balls hii iliwavuruga City na press yao kuwalazimu warudi chini kuitafuta mipira
[emoji1621] Na mipira Mingi baada kuingia Kai aliwin mipira mingi kule mbele kufanya Arsenal kuretain posession
[emoji1621] Baada ya mechi Guadiora akihojiwa alisema
" Raya ni mzuri kucheza Short and long balls hivyo ni vigumu kuzuia mfumo wao uliosababisha sisi Kufungwa"
Pep Guardiola on Arsenal:
"David Raya has the ability to play short and long so it’s not easy to control these balls.
They’re a fantastic team and they played really well."
[emoji1621] ukiwa na systeam sahihi utafanya chochote kile ufanikiwe
Amigos
View attachment 2777788