Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mfumo wetu Ni either umtumie Kama False 9 au LCM au RCM ,

labda tu switch 4-4-2 au 4-2-3-1 kitu ambacho Sioni kikitokea kwasasa ili atumike Kama SS na AM Kama ilivyokuwaga Ozil kipind kile .

Kwa mfumo huu wa 4-3-3 , anaonekana ana impact eneo la false 9 kuliko LCM,
But false 9 mzuri anatakiwa aweze kusogea hadi mid awe ana nguvu za kuhold defense ili kuruhusu wingers na mid ya mtindo wa Vieira au Odegaard kuscore.

Wazia Benzema, Firmino au Jesus. Sioni kama Kai atatoa hivyo vyote akiwa pale. Mainly atapose threat kwamba hapa kuna player mrefu na ana pace but hatooffer enough kufanya wingers na mid ziwe at peace kushambulia.
 
Namaanisha tabia za nje ya uwanja. Kubet, kutukana klabu anayochezea na vitu kama hivyo.

Kuhusu uwezo hakuna atakayepinga uwezo wake. He is good, hana skills za kutisha ila haogopi kulifuata box, ana pace, ana vision na nguvu
Anabadilishwa anakuwa kijana safi...ile ni familia itamfundisha namna ya kuishi...huku atakutana na high skilled players na wana discipline....atakuwa hana namna ata adopt...plus mwalimu ni no nonsense guy....atatulia...mm naomba sana tumpate hyu muhuni...hyo Osimhen mm simkubali kama navyomkubali msela
 
Katika timu hua siziwazii ni kenge na nyumbu.

Hata tuwe wabovu vipi hua naamini tunatakiwa kuwapiga na hua tunawapiga kweli.

Kenge their best team tuliiface na nikahisi hapa hatutoboi ni ya misimu nyuma huko huku wakiwa na Lukaku. Pamoja na threat waliyoonyesha ila walishinda 2 tu, 2nd meeting tulipiga mpaka wakaanza kulaumu kipa.

Na kuanzia pale ikawa ni wanapigwa tu haina kupumzika. Next season bakora, next season tena bakora.

Katika hao wawili hata tuchezeshe under 16 mimi bado naamini tutashinda.
 
Bila kumsahau Michael Jackson lazima awachezeshe Thriller pale darajani.
Yaani katulizwa Halaand sembuse hyo kimbaumbau😅😅😅...siku ikifika tutaona anafanya nn....pale Chelsea ni Enzo tu ndo kidoogo anaweza kujitutumua ila hawa wasuka dread wengine hamna kitu...ni watumishi hewa
 
Yaani katulizwa Halaand sembuse hyo kimbaumbau...siku ikifika tutaona anafanya nn....pale Chelsea ni Enzo tu ndo kidoogo anaweza kujitutumua ila hawa wasuka dread wengine hamna kitu...ni watumishi hewa
Subiri mkavutishwe bhangi na Marasi pale darajani ndio mtajua kua bhangi sio Shisha.
rasta-ganja.jpg
 
Bila ya King of Aerial duel, Master of pressing, professional of positional interchange Mtaalamu mwenyewe King Kai Havertz hicho kikosi itakua ni ubatili mtupu.
unamuandama sana King Kai! Pole sana brother najua unapata tabu sana na Arsenal and unajitahidi sana kutafuta loophole ya kuisema. hiyo ni kazi ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aepushe mbali mlikose tu kwa kweli maana sisi Manyumbu sijui hata sura zetu tutaziweka wapi?
Na nilivyozungukwa na majirani zangu wote ni Asaninyau ninaweza nikahama mpaka mtaa.
Yaani nyie manyumbu mmenunua Sanchoka enzi hizo, tena bei ghali kuliko Kai na kazi kubwa aliyofanya ni kunenepa tu, badala mdili naye mnataka kumkomdesha King Kai mwenye assist yake dhidi ya Man City

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nyie manyumbu mmenunua Sanchoka enzi hizo, tena bei ghali kuliko Kai na kazi kubwa aliyofanya ni kunenepa tu, badala mdili naye mnataka kumkomdesha King Kai mwenye assist yake dhidi ya Man City

Sent using Jamii Forums mobile app
sio assist tu pia ana goli zake mbili za Pre season muulize Masingeli atakwambia
 
Kikosi kikiwa full kabisa our Midfield Ni Partey Ødegaard na Rice

Kai anakuwa False 9

Amecheza LCM sababu tulipoanza Ligi

Zinny alikuwa injury ,hivo Partey ikabid atumike Kama RB Inverted ,
Sio sahihi Kai kuwa LCM, tunaforce kitu kisichowezekana. Arteta aendelee kumpanga CF
 
Back
Top Bottom