Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Wakati Tunawalaza Man City na Viatu jana Mikel Arteta alivalia saa Yake ya Rolex GMT Master II,
Bei yake elekezi ni kati ya TZS 45,000,0000 hadi 100,000,000 kwa fedha za kitanzania. Picture by Getty Image
Bei yake elekezi ni kati ya TZS 45,000,0000 hadi 100,000,000 kwa fedha za kitanzania. Picture by Getty Image
Arsenal ni ile ile miaka nenda miaka rudi tutarudi hapa May kuona same script mkiwa mnalia mwisho wa msimu
Kuna matumaini kwamba jeraha la Leandro Trossard sio baya na kujiondoa kwake ni tahadhari zaidi.