Olashoga mama la kihindiMunamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo
Olashoga mama la kihindiMunamuotea man shitye mchovu ngoja mukutane an ukuni wa Enzo na Caicedo mulambe lolo
Arsenal inamtamani sana. Inafahamika kuwa Toney anaitamani Arsenal pia.
Kwa upande wake Mikel Arteta, Toney anafaa kabisa kwa Arsenal.
Umbile lake huweka alama
kwenye sifa nyingi anazohitaji Arteta• The longest winless streak between Arsenal and Manchester City was between 1992 and 2006, as Manchester City was unable to beat Arsenal during this period.
• The two teams faced off 19 times during this period, with Arsenal winning 16 times and drawing 3 times. During this period, Arsenal scored 39 goals against Manchester City, while City scored 9 goals.
• There were no direct confrontations between the two teams in the league in the years 1997, 1998, 1999 and 2000 due to Manchester City’s relegation to the lower division. [@EPLworld ]
Ni muda muafaka wa kuweka heshima yetu sawa Sasa• The longest winless streak between Arsenal and Manchester City was between 1992 and 2006, as Manchester City was unable to beat Arsenal during this period.
• The two teams faced off 19 times during this period, with Arsenal winning 16 times and drawing 3 times. During this period, Arsenal scored 39 goals against Manchester City, while City scored 9 goals.
• There were no direct confrontations between the two teams in the league in the years 1997, 1998, 1999 and 2000 due to Manchester City’s relegation to the lower division. [@EPLworld ]

Mechi na Kenge FC tunaanza kuijadili liniNi muda muafaka wa kuweka heshima yetu sawa Sasa
![]()
Tukiijadili mapema Kenge watajipiga banMechi na Kenge FC tunaanza kuijadili lini
Wana hatari gani kwasasa
I believe tutawafata tukiwa full house
Tabia zake naona zinaenda kinyume na anachotaka ArtetaSami Mokbel81 Moja ya chanzo Cha ukweli kwa habari za Arsenal , kaongea kumbe Arsenal ipo serious na Toney na Toney anaitaka Arsenal
Arsenal inamtamani sana. Inafahamika kuwa Toney anaitamani Arsenal pia.
Kwa upande wake Mikel Arteta, Toney anafaa kabisa kwa Arsenal.
Umbile lake huweka alama
kwenye sifa nyingi anazohitaji Arteta
[@SamiMokbel81_DM]
Kwenye zile mechi 10 miyeyusho tulilia na kusaga meno kwamba tucheze back 3. Na miongoni mwa vilio vya back 3 vilitoka kwa Ian.Ian Wright mshabiki mkubwa wa Eddie Nketiah amemuomba Arteta amtumie Kai as CF badala ya Nketiah
View attachment 2777305
Tafuta kazi ya kufanya dogo ,kushinda humu kutype utumbo unapoteza muda na rasilimali ...Historia ambayo huwezi kuambiwa
Kwanini ? Sio kwamba Toney atatupa kitu tofautTabia zake naona zinaenda kinyume na anachotaka Arteta
Kwa mfumo wetu Ni either umtumie Kama False 9 au LCM au RCM ,Kwenye zile mechi 10 miyeyusho tulilia na kusaga meno kwamba tucheze back 3. Na miongoni mwa vilio vya back 3 vilitoka kwa Ian.
Arteta alitia pamba sikioni na kupiga kanyaga twende la haja.
Sidhani kama hili atafanya kama haukua mpango wake. Hata hivyo Kai siyo CF hajawahi kua, AM na SS na utakula mema ya nchi
Sasa mechi ya kenge tunajadili nini? Wale hata tulivyokua wabovu tulikua tunajipigia tu sembuse hii 'The Arsenal' ya NDOOMechi na Kenge FC tunaanza kuijadili lini
Wana hatari gani kwasasa
I believe tutawafata tukiwa full house
Sasa mechi ya kenge tunajadili nini? Wale hata tulivyokua wabovu tulikua tunajipigia tu sembuse hii 'The Arsenal' ya NDOO
View attachment 2777451

Hapo Sasa Unaua mende kwa gobole
I wish tutakuwa full house
Twende na hii lineup
__ Raya _
White Saliba Magalhaes Zinny
Ødegaard Partey Rice
Saka Jesus Martinelli
Namaanisha tabia za nje ya uwanja. Kubet, kutukana klabu anayochezea na vitu kama hivyo.Kwanini ? Sio kwamba Toney atatupa kitu tofaut
Hewani
Hold up
Uwezo wakufunga