toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,791
Okay mkuuLeo na huyu Jorginho wenu sijui Nketiah mtajua hamjui.
Yan sisi tuko na watu nje lkn hamtufungi hii game tunawapasua.
Okay mkuuLeo na huyu Jorginho wenu sijui Nketiah mtajua hamjui.
Yan sisi tuko na watu nje lkn hamtufungi hii game tunawapasua.
Kwanini mkuuHii mechi si ya kuangalia bandani kabisa.. Nijifungie ndani niugulie maumivu!
Tulia mbona mlijitapa Sana hapa game ijaanza mnataka kuanza kukimbia.Hii mechi si ya kuangalia bandani kabisa.. Nijifungie ndani niugulie maumivu!
Hii mechi si ya kuangalia bandani kabisa.. Nijifungie ndani niugulie maumivu!

I repeat huyu jamaa ni MBAHATISHAJI katika players wanaokula salary ya Arsenal kinafiki ni huyu mmojawapo but hukawii kushangaa leo akaishangaza Dunia tukasahau ubovu then akarudi kwenye default setting next gamesHv kweli eddie nketiah anaanza dhidi ya man city...
Kwa kweli tunapaswa kusajili matured players
This kid still requires enough game time to mature..Nketia kaanza...?z.. tushakufa hii game.
Mbona city wamemuanzisha LewisThis kid still requires enough game time to mature..
Alipaswa awe loaned
Et anaanza against city and we still want to compete with giant clubs UEFA
NB;silalamiki nasema ukweli na man city leo tunampiga

Leo ushindi lbd mtafute draw tena kwa tochiOkay mkuu

Angeanza nani badala yake???This kid still requires enough game time to mature..
Alipaswa awe loaned
Et anaanza against city and we still want to compete with giant clubs UEFA
NB;silalamiki nasema ukweli na man city leo tunampiga
This kid still requires enough game time to mature..
Alipaswa awe loaned
Et anaanza against city and we still want to compete with giant clubs UEFA
NB;silalamiki nasema ukweli na man city leo tunampiga
Tulipaswa kusajili matured playersAngeanza nani badala yake???
Nketiah again
Lets wait and see
You wish!!!!!!!Atakushangaza leo, lazima afuge na ku- assist