Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,317
- 3,948
Kwamba picha za mazoezi zimefichwa[emoji23][emoji23]
Ila utoto raha sana kama kombolela vile.
Yaani hivi vichekesho hupati sehemu yoyote ile zaidi ya humu, Man city wakusubiri picha za mazoezi za Arsenal kwel? ili tu kuangalia kama martinelli yupo amq hayupo picha zenyewe za insta au youtube[emoji23]
Kama hizi ndo mind games basi hata ihefu tu hawezi kufanya maana ni vichekesho ila wauza matikiti wanakuambia kwao ndo mind games. Yaani picha za mazoezini zifanye team ipate ushindi au ifungwe haya ni maajabu .