hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Arteta aliwahi kusema hajmaleta Kai Kama mbadala wa Xhaka,Kiukweli kai bado hajafikia mchango wa alichokitoa xhaka. Kwa upande wangu kama martineli hatakuwepo ningependa Kai acheze 9 jesus na saka pembeni
Bali Ni Arsenal ibadilike kutoka kucheza na Xhaka na kucheza vingine
Na wengi wanaomlaumu Kai Ni wanaomfananisha Kai na Xhaka
Kai hajafikia kucheza vzr sana Wala vibaya
But sio kweli kwamba Hakuna mazuri anayofanya na ndiyo yanampa nafasi kuanza


