Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
[emoji23][emoji23][emoji23] Masingeli ni next level yule, hili jukwaa ameligeuza kama kanisa la upako aiseeeee, hata akianza kuchangisha sadaka humu kuna mikondoo hata kama haina hela itaenda kukopa ili impelekee Masingeli. View attachment 2773028
Zilikua point 15-18 now tumeambiwa ni point 12-15 kila match zinavyozidi kuchezwa na point zinapungua [emoji23][emoji23]