Kama unafanya analysis vzr kabisa eneo la LCM wapo watu ambao wanaweza kukupa Radha tofauti na Kai na wanastahili kuanza ,vile vile kama unataka kumtumia Kai as CF na una nketiah, Kai ana faida kubwa
Labda uweke chuki ambazo sijui zinatoka wapi,
Mech na city, Community shield, Kai alicheza vzr tu as CF, na ni nafasi ambayo naona atatumika Sana sababu karejea Partey ,hivo Rice atashift LCM,
Kwa malayman wa soka ukimwambia mtu umuhimu wa Duels(aerial na ground) hawez kuelewa kamwe, mfano manjesta kwasasa timu nyingi zinawazid maeneo hayo ,ndio maana wanafikiwa kirahisi ,hawashindi mipira ya 50/50 ,
Unapocheza na City unahitaji kummatch maeneo mengi ,kwenye kiungo utamuhitaji CF wako arudi kusaidia ,Je nketiah anaweza hiyo kazi?
Utahitaji kiungo wa phase ya 2 wawe angalau wawili kupokea mipira ,Nketiha anaweza Hilo?
Pale mbele ukiwa na Jesus ,Kai una uhakika wakupora mipira au kuzuia isiende maeneo hatarishi ,sio nketiah