Tuna tatizo la kutokua na shot takers wa nje ya boksi.
Odegaard alipofika alikua ana hilo tatizo. Akalifanyia kazi shida inakuja kwamba ni peke yake kafanyia kazi na siyo constant shot taker. Anaweza akashoot mara moja na asirudie tena.
Same na Saka.
Naamini kuna kitu tunakosa

“Any team in the Premier League has the tools and the qualities to beat you.” 

Arsenal 