hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Katika mech ambayo sijaumia kufungwa hiiManeno ya mkosaji haya mkuu[emoji1783][emoji1783]...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Najua grup stage lazima tuongoze ,Hakuna timu pale yakuongoza lile kundi zaid yetu
Point 15-18 uhakika ,tukifuzu mapema ,Basi 13-15