Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna anayejitahi footwork kwa kipa. Kama unataka footwork nenda kwa nyanda la dunia Onana. Kipa kazi yake ni kudaka period.
Kwahiyo Raya hajui kudaka?

Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?
 
Masingeli kwa hizo false hopes unazowapa mashabiki wa Arsenyo humu mwisho wa msimu usipojipiga ban mwenyewe na kubadili Id nitaamini kweli wewe ni Cha-mbuzi la FIFA.


#Nyumbu na Arsenyo zinarudi kucheza Futuhi.
Kwenye kundi tuko nafasi ya 2 bado game zipo nyingi nafasi ya kwanza katuacha one point sasa sijui kinawasumbua nini We arsenal still have a chance to lead the group,Nyie mkaomboleze hamna hata point 1 nyumbuzi hahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu huu hii ni game kama ya 3 hivi natizama kuna vitu naona vimenitia hofu.
Arsenal hii sio ile ya kutengeneza nafasi ndani ya box za kutosha, tunakuwa tunazunguruka zunguruka tu nje ya box. Ule msako msako hakuna, pressure ya kulisakama goli la mpinzani hakuna.
Arterta alikataa pesa za Chelsea kwa smith rowe, mbona hamthamini, haoneshi sababu ya kumgomea kumuuza kama anavyoonesha why alimnunua kiazi KAI.
Saka kaumia juzi leo kampanga tena, ampumzishe kijana.

Yule HOJLUND ni mchezaji mzuri, shida ipo kwenye timu(Manchester).
Ni bonge la striker.
Teh hag hawezi ifikisha man u nchi ya ahadi na hivi vizee,
Kumkosa Martinelli Ni pengo

Ni option eneo la ushambuliaji tofaut na Trosaard
 
Nobody cares kuhusu nyumbu, nowdays nyumbu kupigwa ni Jambo la kawaida
Ila akipigwa arsenal ni habari ya kutikisa jiji

Nyumbu wapo kwenye kujitafuta hata phase 1 tu hawajafika so hatuwezi kuwazingatia wanatafuta mtu ambaye ataongea na mashetani vizurii mule ndani .

Tuna care ma false hopers kwasababu mpo mbele ya phase sijuii phase ngapi vile

Slogan ya mwaka huu ni ipi mzee? Ile ya arsenal ndoo halland kiatu ilitimia kwa halland tu, mwaka tunaomba muelekezo kabisa slogan ni ipi ? Arsenal uefa , kai kiatu hii si iko poa zaidii
 
timu imecheza vizuri japo matokeo si mazuri.. lens kocha wao kafanikiwa kwa namna timu yake alivoi set kucheza na arsenal.
Wale jamaa hata Arteta alisema Ni wagumu, but najua Emirates tukiwakosa Sana 4
 
Magoli yte Yale hayazuiliki...halafu angekuwepo Ramsdale leo Kila mda tungekuwa tunashambuliwa maana huwa ana wenge sana hawezi kutulia na mpira...ila leo goli la 1 kipa kachomesha...la pili ni uzembe wa wachezaji mtu mmoja anawatoka watu 3 kwa mpigo kwli???...pale ufaza ulikuwa mwingi...ila ndo hvyo ilikuwa kufungwa kinakuja tu...Sasa hii iwe kama wake up call kwa mwalimu...ESR inabidi aanze kuingia kwny timu...anapiga sana mashuti na hiyo kitu hatuna kwa Sasa pale mbele...Kai aanzie benchi...Saka apumzike hata kama atakuwa hajaumia sana....wacheze wengine sasa
Kwahiyo Raya hajui kudaka?

Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?
 
Credits to Lens, lakini pia tuna ulazima wakuifinyanga ile front three pale ambapo Saka na Martineli wanapokosekana.

All eyes on #ARSMCI
 
Point 15 zipo pale pale

Kufungwa Leo Ni bahati mbaya tu

Lens Emirates anakuja kula kipigo

Sevilla anaacha points 6


Anayebisha ajitokeze hapa,sisi sio manjesta
Bahati nzuri hapa Jf risiti zinahifadhiwa vyema , comment Yako hii inanikumbusha msimu ulioisha baada ya Arsenal kuanza kupata dare mfulilizo ukatoa uchambuzi kuwa Liver ana mpira wa kuvizia atakandwa pale pale Anfield ,na Man City atakandwa vile vile kisha baada ya kutoka yaliyotokea ukala kona sasa ngoja na hii tuitunze.
 
Ata hvyo leo haikuwa bahati yetu

Kuna shoots Kama 3 hiv kipa zilimgonga tu, Yani kajikuta kagongwa na mpira sio kafanya save

Lens akija Emirates atafundishwa adabu
 
Kwahiyo Raya hajui kudaka?

Unataka kusema angecheza Ramsdale asingefungwa yale magoli?

Goli la kwanza he had a chance. Sio leo tu huyu Raya simuelewi, tutarudi hapa huko kushuhudia wote mkitoa ushuhuda.
 
Kai akipata mpira anawaza apeleke sehemu moja tu, pembeni kushoto..

Mwenzie Xhaka alikua akipiga hadi V-Passes ndo mana alikua akitengeneza assists nyingi.

Hapa kwa Kai tutakesha siku nzima kumuelezea.
Kai ni 0 tukim ², tukimzidisha kwa 10 vyovyote vile, hakuna kitu, hata tukim differrentiate, ni BUYU tu 😂🤣 anahitaji mabadiliko makubwa saana, bora nafasi yake acheze smith rowe
 
Maneno ya mkosaji haya mkuu...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi

Magoli yote ni uzembe haya goli la kwanza uzembe wa nan? Man utd bado hata phase one hawajaanza tunaanza vipi kuwasumbua ila nyinyi mpo mbele ya phase mlizojiwekea kaka usijisahaulishe hili.

Kesho PSG anakufa wewe lens tu umemshindwa sasa ukipewa milan au psg si ndo itakuwa kilio na kusaga meno.
Njoo kesho uone timu zilizo serious tunavyofanya vitu without kurusha jezi without phase
 
Goli la kwanza he had a chance. Sio leo tu huyu Raya simuelewi, tutarudi hapa huko kushuhudia wote mkitoa ushuhuda.
Labda humpendi tu na una sababu zako.

Lakini numbers zinaonyesha Raya ni bora kuliko Ramsdale, na hata uwanjani tunaona.

Swala la kukosea wachezaji wote wanakosea, labda kama ulikua unatafuta sehemu akosee ili uprove point zako.

Ile pasi alopewa Tomiyasu naamini angekua White angeicheza. The thing is Tomiyasu hayuko comfortable na mpira ukimlinganisha na White, hata positioning yake kwenye build up sio nzuri. Tunafaidika zaidi na Tomi kwenye ku defend.
Hapo ndio utamuona mtu.. Lakini usitegemee akapiga krosi kama apigavyo White.

Then tukirudi kwa Raya, still nae ni binadamu. Sio kwa kuwa ana distribution nzuri basi ndo kila mechi aweke 100% long balls, au kwa kuwa ni shot stopper mzuri basi a save mashoti yote.

Kama lile goli la pili inapigwa v-pass ndani ya 18 na mtu yuko free.. pale hata Buffon kwenye ubora wake anafungwa boss!
 
Back
Top Bottom