Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2771091
Kila mtu abaki kwny group lake huku group la Arsenal unafata nn...nendeni kule kwenu mkaangalie namna ya kufanya msipoteze mechi zilizosalia za kundi ndugu zetu Man U
 
Kwa hiyo mna wazo la kumfunga City...akili ya KENGE bana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana wanawaza mambo makubwa
 
Point 15 zipo pale pale

Kufungwa Leo Ni bahati mbaya tu

Lens Emirates anakuja kula kipigo

Sevilla anaacha points 6


Anayebisha ajitokeze hapa,sisi sio manjesta
 
wanakwambia finali wanacheza na City. Fake hopes

Pastor mackenzie alikua anakuambia madrid hatishi[emoji23] then timu yake haiachi point mpaka wafikishe 15 vijana wakalishwa false hope wakazipokea kwa mikono 2.

Hao ni lens tu mazee ambao wapo chini huko lakini mambo ndo kama mnavyoona.
 
Maneno ya mkosaji haya mkuu🤠🤠...tukubali tu defensively leo tumefanya makosa mengi na yametugharimu...magoli yte mawili ni uzembe tu...Man U kufungwa sio habari tena ila arsenal kufungwa ndo habari kubwa kwa leo....wacha waje watusagie kunguni na kina Labyrinth 84...ila kesho na sisi tutakuwa pamoja na Mbappe atufute machozi 🤠🤠🤠
Afadhali nyumbu nayeye kafa
 
Au nyie kuna msimu hamkufungwa Group Stage? Okay kufungwa game 1 grouo stage ni tafsiri kuwa hatutofuzu.?


Points 15 zipo pale pale
 
Kaka katika kitu siwazi ni kufungwa leo wallah hata sijaumia maana najua bado tuna mechi za kucheza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nketiah Balon D'or

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua hii timu ni ya kiwango kingine kabisa kama tulivyoambiwa yaani hata first 11 ni mpaka jezi zirushe juu .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Arsenyo Uefa champions
#Kai Harvez Balon D'or
Jukwaa lenu mmetelekeza kule


Mmekuja humu kusaka furaha feki dah mnaishi maisha magumu Sana

Arsenal ataongoza hili kundi mzee baba


Jiulize manjesta hata Europa ataenda
 
First loss of the season is from Lens, a French side.

So chelkenge na nyumbu hua wanajisikia hivi kila wiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom