GenerationY
Senior Member
- Sep 12, 2020
- 174
- 325
TayariiiiHiyo link vipi wadau
Uyu Saka apone mechi ijayo tunamuhitaji
Kaumia ila nahisi kidogoImekuwaje tena ama kaymış?
Safari bado sanaArteta ni kocha mzuri sana no doubt, ila anatake risk sana at times mpaka ana mess up.
Kwani kumpuzisha Saka kunamcost nini?
Plus Reiss Nelson na ESR wamemkosea nini huyu jamaa? Wana deserve chance.
Ramsdale ndo kabisa, he doesn't deserve this asee.
City ni must win game kama kweli tunataka kunyanyua ndoo msimu huu.
Nilipo post hii nilimaanisha tunahitaji baadhi ya player wapumzikeFabio.........................Nketiah......................Nelson
.
.,....................Kai...................Rowe
.
.........................,........Rice
.
.
. ziny........... Gabriel...... Tomy..........white
.
...............................Ramsdale
Ningependa Leo tuingie hivi

Tukimfunga City [Title Contender na reigning champion] tutaboost sana morale ya team pamoja na mashabiki.Safari bado sana
Kwamba tukishamfunga city ndio guarantee?
Mechi ya 8 out of 38Tukimfunga City [Title Contender na reigning champion] tutaboost sana morale ya team pamoja na mashabiki.
Plus ukitaka kunyanyua ndoo hizi ndo games ambazo ni must win, zinakuaga ni decesive sana.
Rudi nyuma angalia last season, tulipopigwa game against city fuatilia series ya matokeo baada ya hapo.