Mbona Liverpool hujaisema?Hvi vitimu vidogovidogo....sijui kina Brentford sijui Bournemouth sijui kina Man U sijui Chelkenge....vitapata tabu sana msimu huu kucheza na arsenal....vinaanza na moto mwingiii...ikifika dakika ya 15 wanakata moto....tunaanza kutoa shule ya bolu Sasa....tunakufunga huku tunakufundisha namna ya kucheza bolu
Liverpool ukitoa safu Yao Bora ya ushambuliaji ,bado wana Midfield yakawaida ,inayoruhusu kupitika SanaMbona Liverpool hujaisema?
Ligi ina mechi 38 na ndio kwanza tumecheza mechi 7 tu, kwenye hizo mechi 31 tegemeeni surprise za kutosha.
Ligi ndio kwanza mbichi, nyie endeleeni kupeana false hopes halafu mwisho wa msimu mkimbie jukwaa.
Kuna timu hazitaleta timu uwanjani.
Akirudi na Timber ndo kabisaa watakubali yaishe watupe kombe letu.
Mchezaji aloongoza kukaba na kupiga viatu wapinzani uwanjani jana ni braza Kai Havertz....kazi tulomtuma anaifanya vizuri sana
Manjesta mwaka huu mtachezea vichapo Sana ,Kama huna kocha wakueleweka usitegemee miujiza na surprise ,Ligi ina mechi 38 na ndio kwanza tumecheza mechi 7 tu, kwenye hizo mechi 31 tegemeeni surprise za kutosha.
Ligi ndio kwanza mbichi, nyie endeleeni kupeana false hopes halafu mwisho wa msimu mkimbie jukwaa.
Sio majeruhi tu, na wanyanyasaji wa wanawake.Manjesta mwaka huu mtachezea vichapo Sana ,Kama huna kocha wakueleweka usitegemee miujiza na surprise ,
Huna timu huna kocha , unasubiri surprise
Bado Zama hizi mnataka kushinda kwa kupiga ramli ?
Hiyo bahati mlipata last season, mechi nyingi ilikuwa JINI KATOKA MGANGA HOI
Safari hii mkileta utani ,Round ya kwanza mechi 19 mtakusanya point 20
Mechi ndio zinaenda hivo ,soon utakutana na kina Liverpool, Newcastle , Astonvilla,city , wanakulamba na majeruhi wanaingezeka
Ndipo mtakapoita maji MMA
Arsenal scouting team needs evaluation, what did they in Murdryk as to consider paying £80m for his services?
Namuangalia hapa Sioni mchezaji
Kesho anapata exposure kidogoPartey kasafiri na timu kwenda Ufaransa kwa mechi ya kesho na atapata dakika chache za kucheza
mzee Arsenal waliona potential , believe me yule dogo alienda Chelsea kwa mtutu wa bunduki
Haiwezekani apambane vile kuja Arsenal gafla aende Chelsea , hata picha ziliongea
Yule alipelekwa pale kwa mtutu wa bunduki na escort ya vifaru ili Ukraine ipewe msaada wa £25m
Moyo wake haupo pale ,akili haipo pale