Unaendeshwa na mihemuko😅😅Imagine pale kwa nketiah ndo ingekuwepo hii mashineView attachment 2769185
Kipindi ligi inaanza nilipendekeza tupate striker na majina nilio pendekeza n matatu, watkins, jota na ivan toney. Ukipenda fukua makabur utakuta.Unaendeshwa na mihemuko![]()
Hujui mpira😅😅😅 nenda shule ukasome kuhusu strikers,attacking midfielder ,Winger ,false 9 nk ndio urudi tuongee unaonesha hujui mfumo wa Arsenal kabisaKipindi ligi inaanza nilipendekeza tupate striker na majina nilio pendekeza n matatu, watkins, jota na ivan toney. Ukipenda fukua makabur utakuta.
Kwa arsenal pale tunaye martinel ana potential ya kua striker mzur semu arteta bado ajawaza hilo
Hata Robin van Persie alivyotua Utd muda wote alikua analia sana, kila dakika alikua anampigia simu mzee Wenger kumuomba msamaha ili arudi Highbury, Ferguson alivyokua anamuona analia sana alikua anampa bubblegum(Big G) ndio V.Persie ananyamaza.Sanchez alipotua unyumbuni hayakuoita ata masaa 6, alimuambia wakala wake wakatengue mkataba arudi zake the Gunner
Arsenal is a big lovable family, real meaning of home sweat home


hizi ndio story mashabiki wa Arsenyau wanapenda kusikia. Mpk mumrudishe Babu Fergie aje kufundisha🤠🤠🤠...vngnevyo msimu huu hakyanani itafikia kipindi tutaweka vikao vya kujadili namna ya kiwanusuru wakongwe wenzetu maana mnapoelekea sasahv ni kama mnataka kumfata Bolton kule alipo🤠🤠🤠...wakongwe hmu ndani wanajua namna Bolton ilivyokuwa timu nzuri enzi za InvincibleHata Robin van Persie alivyotua Utd muda wote alikua analia sana, kila dakika alikua anampigia simu mzee Wenger kumuomba msamaha ili arudi Highbury, Ferguson alivyokua anamuona analia sana alikua anampa bubblegum(Big G) ndio V.Persie ananyamaza.
hizi ndio story mashabiki wa Arsenyau wanapenda kusikia.
#Arsenyo Ndoo
#Nketiah Kiatu
#Kai Balon D'or View attachment 2769194
Huu ndio uhalisia kuhusu Kai ,Hadi sasa kitu anachonikera Kai ni kuwa na kama low confidence akiwa na mpira, hauwezi ukamuona anapiga penetration pass kama Fabio Viera.
Lakini mwangalieni vizuri tunapokuwa tunashambuliwa au wanagombea mipira (hasa ya juu, jinsi anavyowin kirahisi), utagundua kimtindo flani Kai ameimprove workrate yake. Kaangalie Tena marudio ya game iliyopita alafu ujiulize Tena kwa workrate ile kusema ni mtumishi hewa ni sawa?
Positioning ,hapa utamkuta anarudi Kati kuongeza namba ya wachezaji ,atawin mipira ya juu ,Wewe bwana acha kusifia UPUUZIHuu ndio uhalisia kuhusu Kai ,
Watu hawajui klabu Zina data maalumu kuhusu physicality , kuhusu mechi hii aanze Nan Nan asianze ,
Kai hajawa vzr Wala hajawa vibaya ,tatizo ni media na expectations kubwa miongon mwa mashabiki .
Tatizo letu Arsenal watu hawajui tu lilikuwa kuwin duels , Kuna mechi bila kuwin duels maisha hamtashinda ,
Mpaka Sasa Kai anafanya vizuri maeneo yafuatayo na ndiyo yanampa nafasi
Positioning ,hapa utamkuta anarudi Kati kuongeza namba ya wachezaji ,atawin mipira ya juu ,
Kuna shabiki wa manjesta alikuwa anasema kiungo Cha Kai Rice Øde hakiwezi kuwasumbua Ni kilaini ,lakin waliishia kupiga pass hazizidi 40 ndani ya dakika 100 ,
Vieira yupo sharp kutoa pass hata positioning ,ila huwez kumtegemea awin mipira ya juu au chini ,

️ | INJURY UPDATE!
Bukayo Saka
Gabriel Jesus
Thomas Partey
Gabriel Martinelli
Jurrien TimberHuyu sio injury prone lakini?Arsenal contemplating a midfielder addition specifically targeting Kelvin Philips
Wewe bwana acha kusifia UPUUZI



Kwa hio kwako wewe Positioning na kuwin aerial duel ni upuuzi? 


Kwamba!?Hujui mpiranenda shule ukasome kuhusu strikers,attacking midfielder ,Winger ,false 9 nk ndio urudi tuongee unaonesha hujui mfumo wa Arsenal kabisa
Nenda straight to the point unataka kusemaje, kwamba hao hawa fit kwa arsenal ama sio striker ama nn, ama arsenal haitaj striker sijakupata,Hujui mpiranenda shule ukasome kuhusu strikers,attacking midfielder ,Winger ,false 9 nk ndio urudi tuongee unaonesha hujui mfumo wa Arsenal kabisa
Arsenal hawawez kusajili hiyo kiungo takataka,Huyu sio injury prone lakini?
Kinachonishangaza mashabiki wa manjesta mpo bize na Kai havertz kuliko timu yenuKwa hio kwako wewe Positioning na kuwin aerial duel ni upuuzi?
Subiri Masingeli akuletee takwimu za Yai Harvez anavyowin kwenye kupiga penalty na duel ndio utakubali kua Yai ni next level![]()
Mchezaji yyte kati ya Hawa akiamua kwenda pale ntamshangaa sana...lile genge linahitaji kama misimu miwili hivi Ili lianze kujipataChelsea haijulikani wanataka Nini
January tutauana nao
Chelsea will target a move for a number 9 in January and they have two main options:
Victor Osimhen
Ivan Toney
(Source: guardian)