Mimi hua niko neutral
Arsenal kwa leo wako tayari kichwa wameweka kuchinjwa kama yatapungua basi matatu kama yatazidi ni matano kwendea juu
kwani hata ule mpira wao wanaocheza kila siku leo haumo
Duh 2-0 Arsenal ndio basi wanaweza kufunga ila kufungwa wasipotizama yatazidi.. unajuwa kwanini Van parsie kakosa ile penalt kamtizama mshabiki wa united mwenye kitambaa upande wake wa kulia anatingisha akaamuwa asipige kule ndio navyofikiri ila pia good save kwa de gea i hope Arsenal watapata draw.