Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka jana kwa wavimba macho standard ya Arsenal ilikua ni hairuhusiwi kufungwa.

Msimu huu standard waliyoweka ni Arsenal haruhusiwi kufungwa wala kusuluhu.
 
Tumegewa penat nyingi msimu huu mpaka sasa. Tunachezewa mno faulo?
 
Kwenye ratings muda huu wa break mid yote mpaka forward ina rating ya 7.0 kwenda juu.

Kai ana 6.3
 
Raya pale arsenal ndio ameshafika, huyu apigwe kandarasi miaka Mitano

Ball distribution yupo vizuri Sana
Anajua kutuliza pressure
Anacheza na miguu vyema sana
Muanzishi wa mashambulishi mzuri Sana
Yupo vizuri kwenye saves
Short stopper wa kiwango cha juu

Perfect
 
Msimu naona marefarii wameamua muwe top 4 kwa lazima,sio kwa penalties hizi.
 
Back
Top Bottom