arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Saliba....Saka na Rice wte wapo kwny kikosi kinachoenda kucheza na Bournemouth...Martinelli na Trossard haijajulikana😳😳
Tumekwisha kama ni kweli..
Itabidi ben white arudi pale kati.
Saliba....Saka na Rice wte wapo kwny kikosi kinachoenda kucheza na Bournemouth...Martinelli na Trossard haijajulikana😳😳
Tumekwisha kama ni kweli..
Itabidi ben white arudi pale kati.
Wapo au hawapo?Saliba....Saka na Rice wte wapo kwny kikosi kinachoenda kucheza na Bournemouth...Martinelli na Trossard haijajulikana
Aston villa huwa anajua sana kucheza sana na Brighton....hata mwaka jana alimfumua palepale Nyumbani kwao Brighton 🤠🤠🤠Brighton mdebwedo leo
Laugh at man city...??? DelusionalTo do list today:
-Laugh at Man Utd
-Laugh at either Spurs or Liverpool
-Laugh at Man City
-Celebrate Arsenal win against Bournemouth
-Smith Rowe masterclass incoming
We will be there