Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

All players starting trained yesterday. Mikel Arteta up to his mind games again.
 
[emoji599]Full Arsenal XI:

David Raya (GK), William Saliba, Ben White, Gabriel Magalhães, Oleksandr Zinchenko, Bukayo Saka, Martin Odegaard (C), Kai Havertz, Declan Rice, Gabriel Jesus, Eddie Nketiah.
Hivi Nketiah na Harvetz wanaanza kwa nini??Arteta ana USENGE baridi sana fala huyu
 
Kuna watu walikua wakimhesabia Brighton kwenye mbio za ubingwa!

Hawa hata kule Europa hawapati kitu, timu ndogo itabaki kuwa ndogo tu!
Timu kama Brighton ukitaka zisumbue zigee mchuano mmoja tu, michuano ikiwa mingi hali inachange
 
Kutoka mtandao wa 'X'..
Screenshot_20230930-160446.jpg
 
[emoji991]| Arsenal XI vs Bournemouth [emoji3593] #BOUARS

Raya; White, Gabriel, Saliba, Zinchenko, Rice, Ødegaard, Havertz, Saka, Jesus, Nketiah

Subs: Ramsdale; Tomiyasu, Kiwior, Elneny, Jorginho, Vieira, Smith Rowe, Nelson, Trossard.

… Mikel Arteta [emoji1666] Mindgames
 
[emoji991]| Arsenal XI vs Bournemouth [emoji3593] #BOUARS

Raya; White, Gabriel, Saliba, Zinchenko, Rice, Ødegaard, Havertz, Saka, Jesus, Nketiah

Subs: Ramsdale; Tomiyasu, Kiwior, Elneny, Jorginho, Vieira, Smith Rowe, Nelson, Trossard.

… Mikel Arteta [emoji1666] Mindgames
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masingeli De Zebra wako amegongwa goli 6 kiulaini kabisaaa, sisi Nyumbu sijui tunakwama wapi aiseee.
 
Mwaka jana kwa wavimba macho standard ya Arsenal ilikua ni hairuhusiwi kufungwa.

Msimu huu standard waliyoweka ni Arsenal haruhusiwi kufungwa wala kusuluhu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom