Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.
Daaaahhh mwanangu mwenyewe Mwaisa (Wissa) pamoja na Mbouma leo migoli ilikua inawakatalia kuingia wavuni yaani kila wakilenga goli mpira unaishia kugonga besela au unatoka nje.
Jini katoka ila mganga hana hamu yu taabani.
Arsenyo mechi inayofata wacheze tu na Liverpool kisha wapewe kombe lao maana Masterclass, The genius, Tactician hata akiwapanga Ball boys first eleven bado ana uhakika wa kuchukua 3points.

#Arsenyo Treble
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
tunakutaka wewe sisi liver hatumtaki
 
[emoji2788] Victor Osimhen [2020]

“I spoke with Arsene Wenger after the tournament (Under-17 World Cup) ended and he wanted me to come to Arsenal...Of course, one day I'd like to play for a big club in England”
Big club in England sio arsenal tu, zipo zaidi ya 6 brother....huyo kazivutia zote top six
 
Kwa kauli kama hii ndio hua unawatbua kina Flano na genge lake[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo Masingeli ni Motivational speaker wala hatupi tabu tumeshamzea.
Hapo kuchomoka kwa wagonga nyundo tu kimbembe halafu yeye tayari ameshajitangazia ubingwa tayari, akibahatika kuchomoka kwa westham huko mbele kuna Liverpool, Chelsea, Newcastle au Man Utd.
Ila hata hivyo Masingeli analichangamsha sana hili jukwaa pamoja na lile jukwaa letu Manyumbu, bila ya Masingeli sidhani hata kama ningekua na mzuka wa kushinda humu na Misukule ya Arteta.
 
Wewe haugopi kucheza na bingwa mtetezi?
Mwenzio Masingeli anaomba dua tutolewe na Newcastle ili asijekukutana na mbogo alietoka kujeruhiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ofkoz gemu na Nyukesto mtashinda vzuri tu na sisi wale watoto wadogo West Ham tutaenda kuwafundisha bolu pale kwao🤠🤠🤠....baada ya hapo tutakutana na nyny na nna wasiwasi mtakuja tena Imarate....tuje kuwafundisha tena nn maana ya kuovalodi kiungo🤠🤠
 
[emoji736] 0-1 vs. Brentford
[emoji1666] 2-2 vs. Tottenham
[emoji736] 4-0 vs. PSV
[emoji736] 0-1 vs. Everton
[emoji736] 3-1 vs. Manchester United
[emoji1666] 2-2 vs. Fulham
[emoji736] 0-1 vs. Crystal Palace
[emoji736] 2-1 vs. Nottingham Forest

Ukiwasikiliza watu humu unaweza dhani arsenal imepoteza mechi 7
 
Kai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.
Daaaahhh mwanangu mwenyewe Mwaisa (Wissa) pamoja na Mbouma leo migoli ilikua inawakatalia kuingia wavuni yaani kila wakilenga goli mpira unaishia kugonga besela au unatoka nje.
Jini katoka ila mganga hana hamu yu taabani.
Arsenyo mechi inayofata wacheze tu na Liverpool kisha wapewe kombe lao maana Masterclass, The genius, Tactician hata akiwapanga Ball boys first eleven bado ana uhakika wa kuchukua 3points.

#Arsenyo Treble
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
Natamani iwe ivo lakini karoho kananisuta
 
[emoji736] 0-1 vs. Brentford
[emoji1666] 2-2 vs. Tottenham
[emoji736] 4-0 vs. PSV
[emoji736] 0-1 vs. Everton
[emoji736] 3-1 vs. Manchester United
[emoji1666] 2-2 vs. Fulham
[emoji736] 0-1 vs. Crystal Palace
[emoji736] 2-1 vs. Nottingham Forest

Ukiwasikiliza watu humu unaweza dhani arsenal imepoteza mechi 7
Tunao ijua arsenal tunaelewa haina madhara kwenye makombe, licha ya mashabiki wake kupiga nduru humu ila matokeo ya mwisho tunajua mnamaliza trophy less.
 
Huu ndio namba 10 yangu

IMG-20230929-WA0015.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom