Mnapanga wachovu hafu tukija kubeba haka kakombe mnasema hatujakutana na vigogo.🟡 𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎
Jorginho skippers the side
Smith Rowe racks up 100th appearance
Sagoe Jr makes debut
COME ON YOU GUNNERS!View attachment 2764341
Mtapigwa mchakaeSioni ushindi kwenye kikosi cha leo
Sioni ushindi kwenye kikosi cha leo
🟡 𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎
Jorginho skippers the side
Smith Rowe racks up 100th appearance
Sagoe Jr makes debut
COME ON YOU GUNNERS!View attachment 2764341


Kai magoli piga kazi baba, leo Asaninyau tunaiweka kwenye mabega yako, mimi na Arteta tunaimani utaivusha salama Asenyo msimu huu, Ballon D'or 2024 ni yako hauna mpinzani. 








BRE 0Kwani ngapi ngapi? Naona kimya kimetanda humu😅
sahv utakuwa mpoleeeeKai magoli piga kazi baba, leo Asaninyau tunaiweka kwenye mabega yako, mimi na Arteta tunaimani utaivusha salama Asenyo msimu huu, Ballon D'or 2024 ni yako hauna mpinzani.
Leo Kai Havertz asipopiga hatrick aulizwe Masingeli, Le captain Jojinyo yupo leo Brentford anakula mkono.
Wapi Mbeumo na Wissa
Leo mashabiki wa Brentford wanaenda kujipiga Ban wenyewe humu JF.
Nacheka kama mazuri vile
#Asenyo Kondoo
#Nketiah Kiatu
#Kai Ballon D'or
Kai leo kajikaza kaza kiasi.Huwa siangalii mechi kama hizi ambazo wachezaji wengi wa timu ya kwanza hawapo, huwa tunacheza kama mid table team.
Mnaoangalia mpira vipi maendeleo ya Havertz au ndo bado anaendelea alipoishia?
Kai kaubonda mwingi sana, alikua anagawa miassist kama yote ila mfungaji ndio hakuna, Tomiyasu leo kapiga kazi kwelikweli akitoka uwanjani moja kwa moja anaenda kujitupia kitandani na viatu vyake.Huwa siangalii mechi kama hizi ambazo wachezaji wengi wa timu ya kwanza hawapo, huwa tunacheza kama mid table team.
Mnaoangalia mpira vipi maendeleo ya Havertz au ndo bado anaendelea alipoishia?
Sio rahisi hivyo,acha kutuaminisha humu JF kwamba tuna Timu ya maana kuliko wengine wakati ni papatupapatu tu(refer mechi na Totenham),hao Westham usiwachukulie poa aisee kwa wachezaji wakina Nketiah,Kai nkHIKI KIKOMBE MWAKA HUU TUNAPITA NACHO
𝗖𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗢 𝗖𝗨𝗣 𝗗𝗥𝗔𝗪
MansfieldPort Vale
IpswichFulham
Manchester UnitedNewcastle
BournemouthLiverpool
ChelseaBlackburn
West HamArsenal
EvertonBurnley
ExeterMiddlesbrough
#CarabaoCup
Kwa kauli kama hii ndio hua unawatbua kina Flano na genge lake😂😂😂HIKI KIKOMBE MWAKA HUU TUNAPITA NACHO
𝗖𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗢 𝗖𝗨𝗣 𝗗𝗥𝗔𝗪
MansfieldPort Vale
IpswichFulham
Manchester UnitedNewcastle
BournemouthLiverpool
ChelseaBlackburn
West HamArsenal
EvertonBurnley
ExeterMiddlesbrough
#CarabaoCup