Huyu Welbeck nadhani ataweka historia hapo Man U.He is young but thinks big.Very talented.He is full of energy halafu siyo selfish.Mechi ile vs Totenham alidhihirisha yote hayo.
Mimi sina wasiwasi nafahamu huu ni msimu mgumu sana ila lolote linawezekana.
Hapa Tripoli jamaa wa TNC bado wanazungumza na wazee wa Mji wa Sirte ambako Gaddafi amezaliwa ili waweze kuingia kwenye mji huo.
Internet inafanya kazi na bomba la mafuta ambalo linatambaa hadi Italy nao limekwishatengezwa na hawa jamaa.
Jamaa hawa wametangaza majina ya mawaziri ambao wataanza kazi rasmi leo na ni mwanamke mmoja tu yumo humo anaitwa Salwa Fawzi el-Deghali ambae anatoka mji wa Benghazi.
Kwa refarii huyu Webb na hawa Mannure wameanza kupayuka, tuombe Mungu tu, labda ataona aibu kwa vile kila mtu anajuwa kwamba ni mnazi wa ManU kwa nini wanampanga?