Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pengo la Partey limeonekana kabisa leo.... Jorginho sijui huwa anawaza nn yule jamaa....ametuchomesha goli la kipumbavu kabisa....point 4 ni nyng sana kumfukuza City....na naona watu wanatoka wanachechemea kabisa....tuombe wiki mbili hzi tuwe na kikosi kamili vngnevyo tukikutana na wale mabraza....tutawaeleza vzuri ile siku ya community shield kile kimbelembele tulikitoa wapi
Kuna wenzio wanasema rodri suspended bernado kdb wameumia kwaio ni mtelezo tu

Yuo dont have to beat pep's players you have to beat his tactics
 
Kwa kuwa Rice hayuko fit ndo amtoe mapumziko?

Huyo Nketiah kafanya nini kipindi cha kwanza chote.
Angemtoa Nketiah halafu Jesus akarudi kati then nelson acheze pembeni....na Saka angemtoa hata dk ya 80 then ESR akaingia...maana jamaa ni baller hasa....anyway tuombe mpk mwezi wa 10 tutakapokutana na yake majamaa yenye roho mbaya tuwe na kikosi full fit...vngnevyo yule sijui Foden na Alvarez wale washenzi watatuvuruga sana pale kati.... Jorginho atageuzwa mpk aombe kutolewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom