Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukiweka ushabiki pembeni bado city ni bingwa tena kwa Mara ya 4 mfululizo tu.

japo kukubali ndo uwa ni ngumu Ila sioni timu ya ku battle na city msimu pamoja na injury lakini bado wapo imara inaumiza kwa timu nyingine kuwa tumekuwa wasindikizaji tu.
 
Liverpool tuko pale
 
Supercomputer ilimpa 60% chance ya kubeba tena hilo kombe kiuhalisia labda pep aondoke na mwakan anaweza libeba tena tusipokua serious

Nimejifunza kitu leo

Man utd sio wabovu tukubali kocha anatuchelewesha kucheza ki professional hawa spurs msimu ulipota tuliwa dominate sana ila leo hii anaonekana tisho

Uongoz na kocha kuna shida mahala
 
Usisahau Liverpool nao wako vizuri
Hii Liverpool siioni ya kukimbizana na city ukicheki Liverpool ana gundu Sana na kombe bado nafasi ya city kubeba ubingwa Ni kubwa sana kumbuka misimu yote city kabeba ubingwa Ila akuanza Moto Kama msimu huu.

Na hapa city Wana injury lakini kwao kupoteza game ni ngumu sana ili uweze kuchuana na city auitaji kupoteza mechi 3 tu kwa msimu kwenye ligi.

Kumbuka Liverpool Kuna msimu ilikuwa Bora sana pamoja na kupoteza game moja tu Ila ubingwa ilikosa kwa city.
 
Back
Top Bottom