Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Pep Guardiola on Martin Ødegaard: “He’s an exceptional player! Exceptional! His talent’s really good.”

“He became the captain because also – on and off the pitch – he’s really well, he has consistency – playing a lot of games. He suits perfect for the idea for Mikel and Arsenal. He’s a really, really good player!”(via tbr)
 
Jack Wilshere na vijana wake wanaua nyumbu huko

Dk 40 had Sasa

4-0

Nanweri hayupo atakuwa bench kesho kwenye senior team
20230923_144710.jpg
 
bora umwambie mapema kabisa ndugu yetu Masingeli, maana hua anapenda kuchukulia mambo kiurahisi rahisi na kuwaaminisha watu vitu ambavyo hata yeye mwenyewe hua hana uhakika navyo, halafu mambo yanapoenda ndivyo sivyo analikimbia jukwaa na kuwaachia msala wenzake humu ndani
Hivi aaron arsenal aliendaga wapi
 
Aaron arsenal ndio Masingeli mwenyewe, baada ya kuwalisha matango pori humu members wenzake kipindi kile cha usajili wa Mudryk alivyobebwa na Chelsea likamshuka akaja kudanganya humu kaibiwa simu hivyo hataonekana tena ila Masingeli ana utoto mwingi sana aiseeeee.
Aisee nyie watu mbona tunapakaziana Sana

Kucheza na Burney Leo tayari mshajionana point 3 ,tayari mna hati miliki ya kuvamia humu na kubwabwaja
 
Mkuu kuwa ujui ndo yule bwana hm77 vipigo vikikolea ndo ukimbia ID hii kwenda ID nyingine
Aisee nitake radhi Mimi sikimbii ,huwa nawaacha mpige kelele tu,

Jukwaan kwenu kule vipigo vimewaandama mlikimbia Mara mta deactivate account ,

Leo Burney mnamuona kiazi ,Basi mmejitokeza kwa wingi enyi nyumbu

Nawaambia hivi Burney atawashangaza
 
Aisee nyie watu mbona tunapakaziana Sana

Kucheza na Burney Leo tayari mshajionana point 3 ,tayari mna hati miliki ya kuvamia humu na kubwabwaja
Ila Masingeli kukosena kwa Masebene pale unyumbuni timu imeyumba sana, yule jamaa pamoja na mapungufu yake ila uwepo wake uwanjani hua unasaidia sana, hata nyinyi mlipata jeuri ya kutufunga baada ya masebene kutolewa na hii inajirudia hata msimu ulioisha mambo yalikua hivihivi ni vile Mayai7 tu anapenda kukaza fuvu, Ila Masebe kwenye timu yetu ni kama centre bolt akikosekana lazima gari ilale upande mmoja.
 
Back
Top Bottom