Kai mechi ya mwisho kacheza vzrBora aanze smith rowe kwa kweli
Yatakushinda aiseeAnge ball masterclass incoming
Kai si aumie tu msimu mzima??chezaji la ovyo sana lileKai mechi ya mwisho kacheza vzr
Most mnataka acheze Kama Xhaka, but ni namba 1 ,majukumu tofauti
Nataman nimuone leo Kai CF
Yatakushinda aisee
Pambaneni na timu yenu mbovu , hivi mnapata wapi nguvu yakuja humu ikiwa mna timu mbovu kiasi kile ,
Yule kocha wenu mna matumain nae yapi ikiwa hata Burney anawa dominate
View attachment 2760511
Mmefikia huko aiseKai si aumie tu msimu mzima??chezaji la ovyo sana lile
Kumfunga Burney 1-0 kwa kupaki Basi ndio kunawapa mdomo?
Mech ingeisha 1st halfKwa pila hili tunalopiga kwa sasa imagine eneo la kati angekuepo Partey & Rice dakeki
Wachezaji wa hivyo hua hawaumii 😂 kama Maguire kwa nyumbuKai si aumie tu msimu mzima??chezaji la ovyo sana lile
Kama una hela nenda kabet.Arsenal anapigwa leo 2
Thierry Henry: 