Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Mm niko Against unavyo fikiria, kwa uzoefu wangu Team zinazocheza mpira style ya Bayern na Liverpool hua tunapata wakati mgumu sana kupata matokeo! Na kwa performance ya Bayern kwa sasa huwezi sema ni mbovu, ni mapema sana ku conclude.Baryen unayoizungumzia sio hii, na Arsenal unayoizungumzia sio hii elewa Hilo
Baryen na Madrid Ni wakawaida huo Ni msimamo wangu toka hata makund UCL hayajapangwa ,
PSV ana unbeaten run ya 20+ mechi, kwenye Ligi ya uholanzi ambayo 7hag mnadai alifanya vzr na mnamuita kocha Bora ,PSV hajafungwa had Sasa
Madrid kacheza na kibonde kuliko PSV ,kapata goli dakika 94
Sasa usimdharau PSV , Arsenal kwasasa tunatoa mbinyo wa maana
#Tupunguze mihemko na nyege za UEFA
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app