Mchambuzi Nguli
1/4: [emoji837][emoji460]Kwanini Arteta Alienda na Raya na sio Ramsdale
[emoji116][emoji116]
Kwa kusajiliwa kwa Raya, chaguzi za kimbinu za Arsenal zimepanuka sana. Hivi ndivyo uwepo wa Raya unavyofaidisha mkakati wa Arteta:
2/4: [emoji664] numerical overloads &press resistance.
Kujumuishwa kwa Raya kunairuhusu Arsenal kuunda idadi kubwa katika build-up play, and make them press resistant.
Arteta Anaweza kwenda na 1-3-2-4 au 2-3-2-4 kwa kujiamini.
3/4: [emoji739] Facing high press
Katika mechi dhidi ya PSV, PSV walitumia high press Sana, walijaribu kufanya man marking kwa wachezaji wa Arsenal ili kuvuruga uchezaji wao.
Arteta alitarajia hili na ndio maana alimtumia Raya kuliko Ramsdale kwa sababu maalum.
Mpaka kufikia kipindi Cha kwaza kwisha PSV Tayari walishapotezwa
4/4: [emoji3451] Jukumu la Ziada la Raya:
Huku Raya akiwa golini, Arsenal kimsingi walikuwa na mchezaji wa ziada wa nje ya box (Raya)
Angeweza kukaribisha pressure, kulazimisha PSV kuja kumkaba, na kisha kutoa pasi kwa usahihi, sawa na afanyavyo Onana, Ederson, au Alisson.
Hii inabadilisha sura ya Arsenal ya awamu ya 1 kutoka kwenye build-up ya kawaida ya 3-2/2-3 hadi[emoji3591] 2-3-2/1-1-3-2, huku Raya akiunda mhimili miwili muhimu au kama mchezaji wa mwisho anayeanza kucheza.[emoji736]