Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Spursy jumapili natamani wafunguke tupishane ili iwe fundisho kwamba nyuki hapigwi busu

PSV alikabia high line kala 4G safi tu
20230922_103612.jpg
 
Em acheni utani asiee lile goli la KDB huwez zuia pale mtu kapiga mua alf chini pembeni unasemaje angeweza kuia, Ode magoli anayofungaga ya aina ile tunampa sifa sana ila kwa KDB unasema angeweza kuzuia lile huwez kuzuia mzee
Lile la kdb linazuilika kama kipa anajiposition vizuri golini
 
Brighton kamgonga Man Useless kisha nae anagongwa na AEK tena nyumbani!! Mpira una maajabu sana
 
️ Official: Martin Ødegaard has signed new long term deal at Arsenal — valid until June 2028.

“Signing a new contract was a really easy decision for me, what we are doing right now as a club is special, and I want to be a part of that”, Ødegaard says.

Never in doubt
20230922_111438.jpg
 
Saka, Ødegaard, Martinelli, Saliba, Gabriel, Ramsdale, Nwaneri & Nelson all extending their contracts within the space of a year.

Rice, Trossard, Havertz, Timber & Raya all arriving in the meantime.

Ben White next in line for an extension.

We’re building something special.
20230922_111806.jpg
 
Martin Odegaard -

"Nimejisikia nyumbani hapa tangu siku ya kwanza; nilijisikia vizuri. Hakika hapa ni nyumbani kwangu, nina furaha sana kuwa hapa na kusaini mkataba mpya."
20230922_112203.jpg
 
Here are the players #Arsenal have extended in the last 12 months.

  • Aaron Ramsdale
  • Gabriel Martinelli
  • Bukayo Saka
  • Reiss Nelson
  • Gabriel Magalhães
  • William Saliba
  • Martin Odegaard

- Benjamin White next &
20230922_111806.jpg
 
“We are still assessing him (Gabriel Martinelli), so let’s see if he can make the game or not. Thomas [Partey] for sure is out and the rest are hopefully available.”

Mikel Arteta provides a team news update ahead of Tottenham.

#ARSTOT
 
After Odegaard, Ben White set to be the next Arsenal player to sign a new long-term contract. His agent has been at Colney this week to finalise his improved deal.

Hopefully not too long before it’s confirmed and announced. A fan favourite.
 
Uhusiano kati ya Mikel na Odegaard ni mkubwa,

Odegaard ni macho na masikio ya Arteta uwanjani.

(@SamJDean )
20230922_111438.jpg
 
And the most of them of all.

MIKEL ARTETA is next in line… board wants to tie him to a new deal and talks are underway!

£10m per season until 2028
20230922_114637.jpg
 
Nyie kondoo ngoja huyo golikipa wenu akishaanza kutoboka goli nyingi mtaanza kumkumbuka Ramsdile, Raya hamna kitu mule. Yaani ukamsifie kipa kw timu ya Everton hii inayopaki basi, nyie kweli ni kondoo. Au PSV hii ambayo inatoka ligi dhaifu.
Mnahangaika sana jirani zetu sasahv....yaani Kila siku mnakuja na utabiri mpya...mara hv mara vile🤠🤠🤠....timu ni yetu mnatupangia na WA kucheza tena.... Ramsdale anapumzika....mwaka jana kadaka sana...inatosha....ale pensheni wadake wengine....kuna tatizo kwni....halafu hzo timu unazozisemea sijui zinaopaki basi sijui zinatoka ligi mbovu...zimekutana na kabumbu safi...unafungwa na kufundishwa namna ya kucheza bolu....kama Everton wanapaki basi ngoja wakutane na Chelsea afu tuone matokeo yatakuwaje🤠🤠🤠...mwaka huu timu shindani ni 2 tu...Liverpool isipopata majeruhi ya mda mrefu na braza Man City....lakini nyny wengine...mnakamilisha idadi ya timu tutakazocheza nazo...ize tu 🤠🤠
 
Tuongee yote ila kuna huyu Gabriel Jesus, juzi kapiga mpira mwingi sana.

Ukiacha lile goli kali, kuna nafasi moja alichekecha kwenye tight space ndani ya 18 akapiga curled shot kipa akacheza..

Hayo mambo tulizoea kuyaona kwa kina De Lima.
View attachment 2758070
Kuna mtu nlishawahi kumwambia hmu ndani...hyu jamaa akiwepo pale mbele huwa tunapata kitu cha tofauti sana....maana ni msumbufu na anacheza namba zte pale kuanzia CF hdi LW na RW....na hyu huwa akiwepo unaona na namna Martinelli anavyobadilika kabisa tofauti na akiwepo Nketiah....Sasa ikitokea January tukafanikiwa kumpata Ivan Toney🤠🤠🤠....watupangie mechi mbili tucheze na Man City atqkayemfunga mwenzake hyo ndo bingwa....maana Hawa wengine tutakuwa tunapotezeana muda kupeleka timu uwanjani
 
Tuongee yote ila kuna huyu Gabriel Jesus, juzi kapiga mpira mwingi sana.

Ukiacha lile goli kali, kuna nafasi moja alichekecha kwenye tight space ndani ya 18 akapiga curled shot kipa akacheza..

Hayo mambo tulizoea kuyaona kwa kina De Lima.
View attachment 2758070
Huyu jamaa anajua Sana Ni very underrated sijui kwanini ,

Ila ndio tunaenda kumfaidi bado alikuwa hajafikia peak , wachezaji wengi Arsenal bado hawajafikia peak Yao ,wengi ndio wanaingia hiyo hatua
 
"Nadhani klabu imefanya vizuri sana katika kipindi cha miaka 2-3 iliyopita kujaribu na kuipa uthabiti na kujaribu kudumisha vipaji tulivyo navyo."

Mikel Arteta ausifu uongozi wa Arsenal kwa kuwa thabiti kwenye kuongeza mikataba ya wachezaji
20230922_111806.jpg
 
“This game doesn’t need any motivation.”

Mikel Arteta on using Arsenal’s victory in the UEFA Champions League as a confidence booster for the north London derby.
20230922_125529.jpg
 
Kuna ndugu zako humu kazi yao ni kumsifia Kai kama vile hapo Arsenal hakuna wachezaji wenye uwezo kuliko Kai, mbaya zaidi wanalazimisha kumfananisha Kai na fundi Ozil, hawa jamaa mimi ndio sikubaliani nao na nikiwaambia Kai ni average player wanakasirika na wengine wanasusa mpaka kula. View attachment 2757874View attachment 2757875
Uko sahihi, ila kama chezaji, Kai apewe muda, idadi ya mechi ikifika kweli ataonekana hopeless mazima. Ila kwa sasa tumwache kwanza, apewe muda, anajua
 
Back
Top Bottom