Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumjadili ili atakapoendelea kupigwa goli za kutosha ,lawama wasipewe Graza family

Hivi mpaka Sasa 7hag anacheza aina gani ya mpira
Mayai7 yule ni dalali sio kocha, hata ukimuuliza style anayocheza yeye mwenyewe hajui atakujibu tu papatu papatu gegen pressing.
Ila kwa Kai Harvez kuwaaminsha watu humu kua ni new version of Ozil hio dhambi haita kuacha salama ndugu yangu Masingeli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kai kuitwa version ya Ozil ilianza kuitwa akiwa na miaka 18 na Wajerumani wenyewe

Kama 7hag had Sasa Hana playing style, why kila ujinga mnamtupia Grazzer,na kwanini hutaki kuwaambia wenzio ukweli kuhusu 7hag
 
Smith Rowe x Reiss Nelson. It's been a long journey.
20230921_144618.jpg
20230921_144615.jpg
 
Kai kuitwa version ya Ozil ilianza kuitwa akiwa na miaka 18 na Wajerumani wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kai anaezungumziwa hapa ni Kai wa Arsenyo sio yule kinda wa Dortmund, hata Maguire wa Leicester city mbona alikua anafananishwa na Roberto Carlos.
 
Ila mwanangu Masingeli una kipawa kikubwa sana kwenye ushawishi, yaani kuna watu humu wameshaanza kumsifia kabisa Kai Havertz baada ya kusikiliza mapambio toka kwa Masingeli.
Masingeli ngoja nifanye mchakato halafu nikutafute tufungue kanisa letu la upako tutapiga pesa kinyama mno ndugu yangu.
Kwenye kanisa letu tusisahau kuwachukua na chawa wako arsenal2004 pamoja na mkorea wakusaidie kwenye kazi ya unabii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kai anaezungumziwa hapa ni Kai wa Arsenyo sio yule kinda wa Dortmund, hata Maguire wa Leicester city mbona alikua anafananishwa na Roberto Carlos.
Kwani Flano Kai anafanya vibaya Arsenal au unafata upepo tu

Kai hajafanya vzr Sana Wala hajafanya vibaya ndio maana unaona anapata na nafasi anacheza

Hivi Kai angekuwa ovyo Kama inavyohubiriwa,ile mechi pale Emirates ndan ya dk 100 mngepiga pass 15 tu kwenye Midfield ya Arsenal
 
Arsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?
[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa jicho la uchambuzi na maono nilimwambia flano miezi miwili iliyopita Kama Madrid hatasajili CF world class Basi atakuwa na Hali mbaya ,Sasa GK akaumia wanae kepa, CB akaumia miltao

Baryen Wana beki mbovu ,wamesajili world class CF Kane ,

Nikasema Hawa ndio wanawekwa juu ya Arsenal kumchallange city ,UCL

Basi kwa scenario hizo Hawa tuna battle nao vzr kabisa ,

Madrid kwasasa anasubiri miujiza ya Jude kila mechi ,je miujiza itaendelea Hadi lini
 
Arsenal Tupo vizuri ila kwanini linakua zito hili swala kulikubali?
[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la uzuri wa Arsenyo kwenye hatua za mwanzo za michuano hakuna yoyote anaepinga, ila hapa napingana na ndugu yangu Masingeli kwa kuaminisha watu kua msimu huu Arsenyo pekee ndio nzuri halafu timu zote zilizosalia kuanzia Madrid, Bayern, Psg, Barcelona zote ni mbovu, Masingeli anakwambia ni Mancity pekee ndie anaeweza kuichallange Arsenyo.
Wenzake ndio wamemwambia awe na akiba ya maneno, haya mambo ya kumtukana mamba kabla ya kuvuka mto hua yanasababisha mwisho wa siku anakimbia jukwaa.
 
Wenzake ndio wamemwambia awe na akiba ya maneno, haya mambo ya kumtukana mambo kabla ya kuvuka mto hua yanasababisha mwisho wa siku anakimbia jukwaa.
Kwa class na depth ya kikosi Cha arsenal hatutakiwi kuwa na akiba ya maneno

Na tunatakiwa kuangalia mpira huku vifua wazi[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwani Flano Kai anafanya vibaya Arsenal au unafata upepo tu

Kai hajafanya vzr Sana Wala hajafanya vibaya ndio maana unaona anapata na nafasi anacheza

Hivi Kai angekuwa ovyo Kama inavyohubiriwa,ile mechi pale Emirates ndan ya dk 100 mngepiga pass 15 tu kwenye Midfield ya Arsenal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kai huyuhuyu wa goli mbili za pre season au Kai gani unaemuongelea hapa?
Daaaahhh najaribu kuweka na picha zake humu za matukio lakini leo app inakataa kabisa kuweka picha.
 
Kai nafas anayocheza Arsenal Hakuna guarantee umadai magoli ,

Mpaka Sasa anatakiwa kuongeza magoli na assist Basi,
 
Kwa class na depth ya kikosi Cha arsenal hatutakiwi kuwa na akiba ya maneno

Na tunatakiwa kuangalia mpira huku vifua wazi[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa lakini kama hutakiwi kuweka akiba ya maneno mshauri basi ndugu yangu Masingile ikifika mwisho wa msimu wakati timu zanazojielewa zinakabidhiwa kombe asikimbie jukwaa na kuwaachia msala humu kina computerarsenal na zitto junior [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la uzuri wa Arsenyo kwenye hatua za mwanzo za michuano hakuna yoyote anaepinga, ila hapa napingana na ndugu yangu Masingeli kwa kuaminisha watu kua msimu huu Arsenyo pekee ndio nzuri halafu timu zote zilizosalia kuanzia Madrid, Bayern, Psg, Barcelona zote ni mbovu, Masingeli anakwambia ni Mancity pekee ndie anaeweza kuichallange Arsenyo.
Wenzake ndio wamemwambia awe na akiba ya maneno, haya mambo ya kumtukana mamba kabla ya kuvuka mto hua yanasababisha mwisho wa siku anakimbia jukwaa.
Wenzangu kina Nani ? Mimi niliweka mtazamo wangu aisee

Kwa mpira tunaopiga Arsenal ,hata manjesta mlishuhidia hamkusimuliwa dk 100 ,on target 2 Kona 2, mliingia box la Arsenal kwa 12% lowest record since 2006/2007

Pep juz kasema alikuwa anaangalia mechi ya Arsenal na Everton , akasema Jinsi Arsenal ilivyoimarika akaitaja na Liverpool

Wakamuuliza na manjesta je?

Akaangua kicheko[emoji1787][emoji1787]

Sasa Nikisema mm hapa mchambuzi nguli unasema muongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa lakini kama hutakiwi kuweka akiba ya maneno mshauri basi ndugu yangu Masingile ikifika mwisho wa msimu wakati timu zanazojielewa zinakabidhiwa kombe asikimbie jukwaa na kuwaachia msala humu kina computerarsenal na zitto junior [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kwasasa unatafuta mada zakukupa ahueni

Ukweli Jana mmepigwa 4-3

Next Burney nae anawabonda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kai huyuhuyu wa goli mbili za pre season au Kai gani unaemuongelea hapa?
Daaaahhh najaribu kuweka na picha zake humu za matukio lakini leo app inakataa kabisa kuweka picha.
Kuna mwenzako alikuwa na maneno hivi hivi akasema Kiungo Cha Kai Rice Øde haiwez kubalance , mara kilain Sana

Nikamwambia Arsenal sio manjesta , kiungo hicho hicho alichokuwa anakiponda ndio kiliifanya manjesta ya 7hag dk 100 wapige pass 15 kwenye Midfield.
 
Kai nafas anayocheza Arsenal Hakuna guarantee umadai magoli ,

Mpaka Sasa anatakiwa kuongeza magoli na assist Basi,
Wewe si ndie ulikua unamshangilia kwenye pre season kwa kufunga magoli mawili na kuwakandia kina Masebene kwa kutokufunga?
Kwa hio nafasi anayocheza Kai hatakiwi kufunga kwenye nafasi anazopata za magoli ya wazi sio? Unataka kutuambia humu kazi ya Kai inaishia kuwin aerial duel na kua mnyumbulifu?
Masingeli si wewe ndie ulietudanga humu kua Kai Havertz has some similarities with RVP?
 
840m - David Raya's successful upfield passes covered a distance of 840 metres against PSV, the highest of any player in the Champions League on MD1.

The next highest goalkeeper ranked ninth (Anthony Racioppi, 613 metres).

840m - David Raya (GK)
716m - Dayot Upamecano (CB)
712m - Gernot Trauner (CB)
700m - Kim Min-jae (CB)
687m - Pepe (CB)

Coverage.
20230921_152235.jpg
 
Wewe si ndie ulikua unamshangilia kwenye pre season kwa kufunga magoli na kuwakandia kina Masebene kwa kutokufunga?
Kwa hio nafasi anayocheza Kai hatakiwi kufunga kwenye nafasi anazopata za magoli ya wazi sio? Unataka kutuambia humu kazi ya Kai inaishia kuwin aerial duel na kua mnyumbulifu?
Masingeli si wewe ndie ulietudanga humu kua Kai Havertz has some similarities with RVP?
Kai anatakiwa kufunga na kuassist but sio guarantee elewa Hilo

Hivi unadhan angekuwa hatimizi majukumu yake vzr angeendelea kupagwa ?

Masebene Ni Winga ,Kai Ni CM , mech chache katumika Kama false 9

Pale manjesta Hakuna mchezaji anayeweza kupress Kama Kai

Unadharau Aerial duels lakin Ni kitu muhimu Sana ,Kuna mech unaweza kucheza vzr Sana Kama hutashinda ground na Aerial duels,Basi hushind mechi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom